Makapuku Forum

Makapuku Forum

0a5284707bd6330c56d874a41b74af73.jpg
Hii imenishangaza zaidi
 
Tulikuwa tunakesha kila New Year pale Mabibo kwa Bibi Cheche na Kigogo au Manzese ila siku hizi imekuwa marufuku
What a stupidity ? maisha magumu halafu tusio na uwezo wa kwenda Night Club hawataki tuburudike kitaa
Hata kujinywea viroba imekuwa mwiko na mchana huruhusiwi kunywa pombe
Bangi nayo imefanywa dawa ya kulevya

WTF
[emoji780]
[emoji35]
......
Pole sana
 
Back
Top Bottom