Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Kweli shemeji maana nilisubiri magazeti nikaona huleti nikawa nimefika sehemu mtandao umekataUlipokosekana nikajua shemeji yupo anaitafuta mtera na nduli Iringa
Kweli shemeji maana nilisubiri magazeti nikaona huleti nikawa nimefika sehemu mtandao umekataUlipokosekana nikajua shemeji yupo anaitafuta mtera na nduli Iringa
Basi mie niliishika ulipoongea wewe sinza wanakaa peregeAhaaaaah mail walivosema dar ni kijiji cha wavivu ....![]()
![]()
![]()
![]()
Sio mm waliandika wao ila nkachanganya na upuuzi wa lee ...
Sisi tunakujua kwa style yako OG hii fake hatutakiiiiAsante shemelaubarikiwe sana nakupenda
HakunaKwa hiyo zile story za vibonge hakuna tena
Dunian kuna mambooUlitaka aseme nini katibu?![]()
![]()
SawaSisi tunakujua kwa style yako OG hii fake hatutakiiii
Ukiridhikaa na kuona wakati muafaka ....muulize mama mchuchuAhaahhh acha nicheke tu mda wangu upi sasa wa kuwa hivyo
AmenWabarikini wale wanaowatesa, barikini wala msilaani. Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wale waliao.
Kaeni kwa amani ninyi kwa ninyi. Msijivune, bali mwe tayari kushirikiana na wanyonge. Wala msiwe watu wenye kujivuna kwamba mnajua kila kitu. Msimlipe mtu ye yote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote. Kama ikiwezekana, kwa upande wenu kaeni kwa amani na watu wote.
Wapendwa, msilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa: “Kisasi ni juu yangu, mimi nitalipa, asema Bwana.” Badala yake: “Adui yako akiwa na njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mnyweshe. Maana ukifanya hivyo, utampalia makaa ya moto yanayowaka kichwani pake.” Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.
Warumi 12:14-21
Mbarikiwe sana muwe na mchana mwema![]()
![]()
And you love meeYes my dear..Lee is my man!
Naona umetupiaT wa shululu habari yako
SawaUkiridhikaa na kuona wakati muafaka ....muulize mama mchuchu
Hongera kwa 240KT wa shululu habari yako
Hayo umeyasema wewe ...Style yangu si huitaki nisije nikawa nakubore ujue

Ubarikiwe na weweAmen
Ubarikiwe sana Shunie wa lee

Na hiyo njia ina shida sana ya mawasiliano aisee, pole shemejiKweli shemeji maana nilisubiri magazeti nikaona huleti nikawa nimefika sehemu mtandao umekata
Kwa hiyo hukujua yameanziaa wapiiii.....Basi mie niliishika ulipoongea wewe sinza wanakaa perege
Aiseee ujue mama mchuchu hayupo hamna wa kuweka sala nimeamua kuweka ila kama nawabore sitaweka muwe na AmaniHayo umeyasema wewe ...
Ila aliyekushauri kama vile kakudanganyaa![]()
![]()
![]()
![]()