Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwani mie nimebisha dadaMisamiati mdogo wangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwani mie nimebisha dadaMisamiati mdogo wangu
Ahsante sanaKaribu mamy
Kwanze kitanda nahisi kimelegea nuts..Woiiiii alaji ya kwa bed
Halaf alikuwa na rangi nzuri tu kwenda kujiharibuHuyu nae alinikera na surgery zake za kujibadiri kira Mara aliutafuta uzungu kwa udi na uvumba
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Alishazama na MV Spice Islander
Kumtafuta ni kupoteza muda
Bora tuendelee kulima viazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Ahhahah cha mbao hakiwafai jamaan na hizo alaji zenuKwanze kitanda nahisi kimelegea nuts..
Nataka nikanunue cha chuma. [emoji3][emoji3]
Umeanza...Picha ipi jamaan ebu iwekeni tuone wote
Ndiohuko ndani ndio kuna joto
Naona nyota tu hapoYaaaa Maaaaan, Afrcan women lookin gudo, bombastic and fantastic.
Mwambie aseme saaaaaTumaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kamatia chini ndio nini hiyo dada ujue mie muhenga naweza nikawa nimevaa kitu nisijueUmeanza...
Ile ulovaa kale kamatia chini
Na mie naombeni kuja [emoji134] [emoji134] nasikia baridiiii kweliNdio
Aisee Sakayo ni asset.Mkuu, huyu mtoto wa Kitanga kakuonjesha nini?
Haleluyaa mshkuru sana Mungu TAisee Sakayo ni asset.
Yaaani huyo mtoto ni mali,
Hicho kichwa chake ni kina akili hataree...
Sometimes huwa napiga Goti kwa Mungu na kusema Aksante Bwana kwa kunipa Sakayo.
She thinks and analyse things to an extra mile ...she know how to put things on track.
mimi namalizia hilo neno suuu inakuwa suuusa, yani nakususia habari zako za pichaWe sema suuuu
"Zigo la kuvunja chaga""[emoji3][emoji3]Ahhahah cha mbao hakiwafai jamaan na hizo alaji zenu
Asante na pole lovie....NUKUU YA LEO
All of us show bias when it comes to what information we take in. We typically focus on anything that agrees with the outcome we want.
Sisi sote tunakuwa na upendeleo pale linapokuja suala la habari tunazozipokea, tunakuwa makini sana na vitu vyenye kukubaliana na majibu tunayotaka.
Haya maneno yalitamkwa na mwanamama , mwana uchumi, mhariri wa masuala ya uchumu ITV televion na mwandishi Bi. Noreena Hertz
Noreena alizaliwa September 24 1967 nchini Uingereza. Noreena ni mjukuu wa wa chief wa kiingereza Bw. Rabbi Joseph Hertz.
Noreena amesema falsafa na masomo ya uchumi katika vyuo vya University college of London Uingereza na The Wharton School of philadephia nchini marekani.
Baada ya masomo Noreena alimefanya kazi mashirika kadhaa nchini marekani ikiwemo Talent Agency LA marekani, amefanya kazi nchini Russia baada ya hapo alirudi nchini England kusoma shahada ya uzamivu juu ya biashara na uchumi (Phd in bussiness and Economics)
Noreena anaamika kuwa kati ya wanawake wenye uwezo mkubwa wa kufikiri sana duniani.
Mwaka 2001 , jarida la the observer lilimuandika kama "one of the world's leading young thinkers"
Mwaka hui huo 2001 jarida la Vogue magazine lilimuandika "one of the most inspiring women in the world"..
Media za Uk zinamuita Neggela lawson kutoka na utashi wake wa kuchambua mambo ya kuyaweka sawia.
Noreena, japo mimi napenda kumuita "Noreen" anatambulika kama "most of influencial economist on international stage" kwa sasa hivi.
Amkuwa na mchango mkubwa wa ushauri wa uchumi wa dunia kwa ujumla.
Vitabu vya Noreena vimeandikwa katika lugha 22.
Noreena ameolewa na aliyekuwa mkurugenzi wa BCC bw. Danny Cohen na wanaishi primrose hill nchini Uingereza.
![]()
![]()
![]()
Hii Nukuu imeletwa kwa Hisani ya Sakayo. Yeye ndio chachu ya hii Nukuu ya leo.
[emoji3][emoji3][emoji3]Umeanza...
Ile ulovaa kale kamatia chini
Woyooooooooo telemka tukaze [emoji3][emoji3]"Zigo la kuvinja chaga""[emoji3][emoji3]
Cc : rich mavoko.
Ndio nimeisoma nowHiyo hapo juu Dada H