Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Nakuteka ili nichukue hiyo meli auWe utaniteka bhana
Nakuteka ili nichukue hiyo meli auWe utaniteka bhana
Mazoezi ya harusi bhanaUsiniambie unataka kwaito leo
Au tukaishi mars kabisa..Yaaani weewe.... Nitakununulia meli
HeheheeNext week nakuja chugaa...
Sasa hivi niko mpanda.
Siji bana nilikuwa natania mie kweli mapenzi yana nguvuAkuuuu
MmmhhMazoezi ya harusi bhana
Hahahaaa...tutaenda wote kuinunua
Umeona nini kwenye Nukuu?Hahaha
Leo alaji Hapana
Nilikuwa nawaza kununa tuuuila dada sakayo nikikumbuka ile avatar uliyotuwekea jana nacheka aisee tena naweza kuota tena hivi ulifkilia nini lakiniii
Karibu...shem wanguMie nimeomba kuja tu jamaan
Basi nimeghaili shemKaribu...shem wangu
Hahaha..... Sesepele sesepele sesepeleee


Utaniua kwa sifa ujueSakayo ni solver"..
Sakayo ni subordinate..
Sakayo anapenda challenge afu anakuwa positive sana hadi nashangaa.
Huwa ananipa mzuka sana
![]()
Tunakupenda pia ujueNawapenda Mungu azidi kuwaweka![]()
Nikija nakuja nakaa siku 3 tuu nayeyuka kama kawaida yangu.Uje na jacket chalii yangu hapafai kama Leo na Jana acha tu
Nawapenda jamaaanTunakupenda pia ujue
Mwenyewe Nimesema tuu... Siku naziona nikawauliza wauzaji sa naniii atanunua hizo mlizochana.....Hizo ndio zangu ujueumeona sasa nilivyo muhenga navaa kitu sijui zinaitwa hivyo
DaaaaaahYour my heroine..
My Queeen
My breath..
My everthing..
Mungu akuongezee Pumzi wewe mwanamke.