Makapuku Forum

Makapuku Forum

Haleluyaa mshkuru sana Mungu T
Sakayo ni solver"..

Sakayo ni subordinate..

Sakayo anapenda challenge afu anakuwa positive sana hadi nashangaa.

Huwa ananipa mzuka sana

c59284e8ef2963ce85e6571efe53e275.jpg
 
KUMBUKUMBU.

Pichani ni Sarah Baartman mwanamke kutoka Afrika kusini aliegeuzwa maonesho enzi za utawala wa makaburu. Kutokana na sura na umbo la kibantu alipelekwa Ufaransa na kuwekwa kwenye majumba ya starehe ambako wageni walilipa hela ili wamwangalie akiwa uchi wa mnyama wakimlazimisha atembee ili waone anavyotingisha! Sarah alozaliwa mwaka 1789 alifariki mwaka 1815 akiwa na miaka 26 kutokana na mateso ya kuingiliwa na wanaume wasio na idadi pamoja na muda mwingi kusimama. Baada ya kifo chake alikaushwa na kuhifadhiwa ili aendelee kua kivutio cha utalii. Watetezi wa haki za weusi walikua wanashinikiza Ufaransa iukabidhi mwili huo kwa Afrika kusini ili uzikwe kwa heshima, juhudi zilokujafanikiwa mwaka 2002 chini ya msaada mkubwa wa Nelson Mandela ambapo mwili wa Sarah ulizikwa upya mjini Pretoria kwa heshima zote! .
7b6caf81a5213a181b6418b634304896.jpg


Nilisoma kitabu kimoja kuhusu hii ishu ya Bi Sarah, nilikereka sana lakini nikafurahi kuwa kwa sasa hawa 'wazungu nao wanakula vizuri ili wawe wazuri huko nyuma sio kama zamani, wanautafuta u-buttarman kwa sana tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom