Leo katika Historia
1960 - Angelique Kidjo. Mwimbaji mashuhuri toka nchini Benin anazaliwa.
Mkuu Obe baadae ukitulia ntaomba ile ngoma yake inayoitwa Agolo (sina hakika na spelling)
Ndiyo maana nakupenda eti Jimena wangu
Huyu chamtotoJamaa alisafiria nyota za wenzie
[emoji134] [emoji134] hadithi umeisoma leo baba watoto[emoji87] [emoji87] [emoji3] [emoji3]Asante kwa hadithi, UF na BBC habari
Mi pia nimefurahi sanaaHapo hapo imetosha pacha [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila nimefurahi kupata pacha wangu April 8 oyee
Ntamfatilia aiseeHuyu chamtoto
Fuatilia historia ya Rais Lyndon Johnson sijui ....jamaa ana ngekewa balaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Hahahahaha ankali amekariri[emoji134] [emoji134] hadithi umeisoma leo baba watoto[emoji87] [emoji87] [emoji3] [emoji3]
HongereniTarehe 8 April
Team April
Team Aries
Team Winner
Sijui niendelee
Nimefurahi kujua hivyo pacha
Msamehe tu my dearDah usinifanyie hivyo basi
Mr F habari yakoHabari za mchana Kapukus.
Yo mean Victornajiita torvic kwasababu torvic ni jina langu.
Hahahahaha basi sawa Obe. Kama hutajali leo tupia zote mbili maana zote nazielewa sanaAsante kwa hii info kuhusu Kidjo, ni mshindi wa Grammy huyu na anatajwa sana kuwa ni mwanamuziki maarufu zaidi Africa, anaishi US
Nilimuona akiimba Davos kwenye mkutano wa 'likes' kwenye jukwaa la uchumi. Napenda Wombo Lombo leo nitarusha hiyo Agolo.
Yeye na Youssou ni wanamuziki wanaonivutia sana
BTW, 'mkuu' sio mimi (joke) mimi ni mdau, mtaasisi na ili usichoke sana refer me as Obe
SawaaaaDada Sakayo jamaan kama nilivyokwambia jana usiku naomba urudishe avatar uliyotoa hiyo mpya inanitisha jaman ujue mpaka sijalala nilikuwa naiota hiyo avatar jamaan siitaki dada
MmmmhAsante kwa kunisaidia..
Nzuri.. Habari ya weekend?Habari za mchana Kapukus.
Swafi Mkuu.Mr F habari yako
Endelea mrembo
Mkimind naendelea [emoji12] [emoji12] [emoji12]
AiseeeeKumbe T na we haujaipenda tena nilimwambia asipotoa nagoma kuingia jf anajua utani nimeingia leo bado anayo aendee tu kuiweka