Mimi sikusoma kwa ajili ya mitihani bali hobby tuhapo nilisoma Betrayal In The City tu! iyo ilikuwa o level na hata maudhui yake sikumbuki sasahiv
Kweli mkuuna kama uka hit 27 akafu bado akijaeleweka unakua egemeo kabisaaa!
Mkorofi sana huyu jamaa
KaribuHeshima kwenu hapa Kijijini
Kwani kibaha na hapo dar nauli sh ngap shemejiNi vizuri kwenda kama uko free
Mimi sipo dar, lakini ningekuwepo lazima ningeenda
Mswahili Floyd Mayweather Jr tayari ni tajiri now anatafuta tu mkwanja wa Mwisho mwisho wa kulala na watoto wazuriKwahiyo mbwembwe nyingi hawa
Umeandaa chai?Karibu
Chai tutakunywa kwa dada sakayo ila uje na kikombe chakoUmeandaa chai?
Heri kijiji chenye furaha na amani kuliko Jiji lenye vurugu na matapeliHeshima kwenu hapa Kijijini
Mbona Kijiji hiki yaelezwa kuwa kuna ufisadi je ni kweli?Heri kijiji chenye furaha na amani kuliko Jiji lenye vurugu na matapeli
Karibu kijijini kwetu
......
YeapTusibirie ulingoni tu
AhsanteHeshima kwenu hapa Kijijini
Nimeshtukia hiyo kuwa n janja ya nyan....
Hawana lolote hawa
Washakubaliana kupiga pesa
Usitarajie kuona ngumi jiwe...mi nitajilalia tu kwenye kigheto changu
.....
Je.....?Mbona Kijiji hiki yaelezwa kuwa kuna ufisadi je ni kweli?
Tunamshukuru mungu kwa hiloMie mzima
Wakimuongeza Rooney haiwi the trinity tena...Rooney siyo kipenzi cha Waingereza
Ila data zinawaumbua Waingereza...
Rooney hapewi heshima anayostahili tofauti na akina Michael Owen & David Beckham ambao ni vipenzi wa Waingwerza pengine na Alan Shearer
Man Utd nao watamjengea sanamu na kumuongeza pale kwenye The United Trinity(Utatu Mtakatifu) yaani Mara waliojengewa akina Sir Bobby Chalton,George Dickie Best na Dennis Law au wamuondoe mmoja ?
Sidhani
Ila Kwa data Wazza ana kila kitu
Thank You Legend
.......
Nilikuwa na B ila sikuipenda tuuHistory ndo mteremko
Unapewa maswali 15 unajichagulia 5 yaani kupata F ni bonge la uzembe
Maana mengi ni marudio ya O level
.....