Makapuku Forum

Hapo kwenye cheni za gold wewe gawa shanga umetisha bila kinyago

......
 
ISAYA 49

14.Bali Sayuni alisema,YEHOVA ameniacha,BWANA amenisahau.

15.Je!Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye,hata asimuhurumie mwana wa tumbo lake?Naam hawa waweza kusahau lakini mimi sitakusahau wewe.

16.Tazama,nimekuchora katika vitanga vya mikono yangu,kuta zako ziko mbele yangu daima.

WAPENDWA..MUNGU NI BABA YETU,HATUSAHAU KAMWE AMETUCHORA KATIKA VITANGA NI UPENDO WA MILELE

ASANTE BABA kutufikisha usiku huu salama,asante kwa yote uliyotutendea,asante kwa neema mchana kutwa..tuma malaika walinzi watuzingire mpaka asubuhi,tunavunja kazi zote za muovu shetani usiku huu ,Damu ya YESU itufunike...ponya wagonjwa,fariji wafiwa,watie moyo waliovunjika moyo tuguse BABA majeraha yetu ni mengi tupate uponyaji wa mwili na roho katika jina la Yesu Amen

USIKU MWEMA MBARIKIWE MAKAPUKU WOTE..MUNGU HAJAWASAHAU,HATAWASAHAU AMEWACHORA KATIKA VITANGA ..ANAWAGUSA MGUSO MTAKATIFU AMEN


Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Ubarikiwe ....!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…