Makapuku Forum

Asante na pole Bitoz
 
Yaani nina evidence..

Kuna rafiki zangu 3 wemepeleka wake zao private wote wamekula kisu..

2 walienda govt wamejifungua kawaida? Then nikaaza kusikia hizi rumours
Labda walikuwa na matatizo. Juzi juzi cousin yangu alienda kujifungua (private hosp) uchungu ulimuuma hadi akawa analazimisha mumewe asaini ili wampasue ila wakagoma kwavile hakuwa na matatizo na alijifungua kawaida tu siku moja baadae
 
Muziki: Jumatano ya Majoka

Ni siku nzuri kabisa kwa kila mmoja hapa (hata kama ni mbaya mimi najiaminisha tu kuwa umekuwa na siku nzuri), kwani uongo jamani, si wote ni mashuhuda hapa KF kumechangamka utasema mtindi uliotiwa ndimu. Vitu vingine havijaribiwi, na kwa kuwwa wewe u sehemu ya makapuku basi Jukwaa hili ni sehemu bora kabisa kuwepo. Mimi nipo, wewe pia, na yule asiyekuwepo bado akija hatokosa kitu.

Ni furaha kuonana kila mmoja akiwa amechangamka, kuna vingi vinavyochangamsha na ukichangamshwa vinachangamka na vingine vinasisimka. Unajua nini, uchangamfu ni jambo zuri kwa sehemu yake na inapotokea unachangamka kupitiliza basi wengine watachangamka kupita kiasi. Asante sana kwa mzeewakungoa kwa kulichangamsha Jukwaa leo, you rock! Kile sijui ni kilugha gani me nikaishia maneno utamu na sikukunda, anyway.

Muziki sasa, mnajua pale mwanzo nilitaka kutunuku wimbo kwa husna muba , huyu ni mtu muhimu kwangu, ikiwa hujui jua hilo. Baadaye nikapata ombi la Sakayo ambalo namshukuru sana Transcend kwa kutupia wimbo wa Z-Anto kijana wa Kigamboni. Well, nimetafakari nikagundua kutokana na kibaridi hiki wengine kuoga mtihani, ni mwemndo wa pasport tu. Sasa husna muba nitamtunuku wimbo siku kila mmoja akiwa ameoga mwili mzima.

Kujiandaa na kuoga mwili mzima lazima uchangamke na ninakuchangamsha kwa chaguo la anko wangu lee empire akiungana na pedeshee mwenzake Koffi Olomide, Mopao muzee ya batoto anahgawa cheni za gold wewe gawa shanga zifuliwe kwa foma gold.

Nakupenda Kapuku mwenzangu na unalijua hilo. Burudika



NB: Nawashukuru wote ambao mnakuwa na nafasi ya kupendekeza wimbo, heshima kwenu sana
 
Asante Obe
 
Shukrani sana kwa 10 kubwa
 
Hicho kipengele huwa sikipendiiii cha siku kuanza ghafla wakati inajulikana siku uanza mapema alfajirii ...

Ila navokujua ulibisha kama siku imeanza au imeishaa


Nilibisha kishenzi tukaangalia saa ikaonekana ni saa moja usiku bado akadai ile ni siku yake, kumaliza ubishi tukaangalia kalenda, kweli bhana kalenda ikamaliza ubishi, ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa, hepibesdei tuyu. Tukaendelea kula na kunywa
 

Kofi hajawahi kukosea
 
YOHANA MTAKATIFU 3

16.Kwamaana jinsi hii MUNGU aliupenda ulimwengu ,hata akamtoa mwanawe wa pekee,ili kila mtu amuaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele

ASANTE BABA KWA UPENDO WAKO KWETU..PENDO LAKO KWETU HALILINGANI NA JAMBO LOLOTE.AMEN

NAWATAKIA JIONI NJEMA MBARIKIWE


Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…