lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Usisahau mafuta ya taaMkaaa.
Nitaongeza na nyanya bamia vitungu na vitu vingine maana naona unataka kupikia tumboni.
Usisahau mafuta ya taaMkaaa.
Nitaongeza na nyanya bamia vitungu na vitu vingine maana naona unataka kupikia tumboni.
Vipi nimekosea????? MkuuuHahahahahahah mbavu zangu bhana
Asante kwa kunielewa baby wanguBasi baby!
Sister natumai mda si mrefu litachomoza maana sasa hivi usiku hatulali kabisa yaani ni kuimba na kuabudu mpaka panakucha..Vipi tumbo limeshachomoza?
Asante kwa kunielewa baby wangu

Ha Haaaa usiulize majibuuuOle wako mtoto wa Lizzy afanane na wewe
Bora umshauri wewe maana nina uhakika 100% jamaa ananisaidia kulea.
Vipi tumualike na pastor jambilaoSister natumai mda si mrefu litachomoza maana sasa hivi usiku hatulali kabisa yaani ni kuimba na kuabudu mpaka panakucha..
Hhahaha.Ha haaaa ndiyo gear yako hiyo ili ugegede wengine
Mkuu yupo fit ile mbaya yupo bafuni anaosha mwili sasa hivi mda si mrefu utamwon hapa...Wewe upo poa lakin?
Goodmorning Guyz ni asubuhi ingine mwanana kabisa huku nilipo toka usiku kunanyesha mpaka mida hii..Hali hii ya hewa inaongeza amasa katika kupiga kazi kwa bidii..Niwatakie Asubuhi njema wote..
Usisahau kupima DNA broh kujipaa uhakika zaidStress mbaya sana kijana endelea kuweweseka tu
Wewe huyuNategemea kwenda kesho brother.

Ataweza kwenda??Naona unaongeza siku tu

Hahahaha jamaa kadata. Ulishawahi kuona bondia aliyepigwa ngumi za kichwa akiwa anaweweseka? Sasa ndo youngbloodHahahaa... Jamaa hapajui hata huko kijijini alikoenda shem Nahrene, ataanzeje kwa mfano!?
Pamoja sana Shemeji..Upo poa lakin?Nakutakia asubuhi njema pia shemeji.
Shemeji tafadhali.......Kwani ushapona kale ka ugonjwa
Nzuri tuu kijanaHabari ya asubuhi Wapendwa katika Bwana?
Unamdanganya nahrene akasalimie wazazi ili uchepuke vizuriHhahaha.
Mtake radhiBora umshauri wewe maana nina uhakika 100% jamaa ananisaidia kulea.
Nasikia bro ni kama dimpoz tu.