Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hapana mpenzi wangu. Agiza vingine ila Sio hivyoWa kula honey!
Hapana mpenzi wangu. Agiza vingine ila Sio hivyoWa kula honey!
Kwani ushapona kale ka ugonjwaItakuwa yangu.
We sumbai,
Mkuu hicho ndiyo kitu cha kwanza.Mi mzima kabisaa vipi umeshukuru Mungu au umekurupukia humu?
Salama shemdarling... Wifi hajambo?Habari ya asubuhi Wapendwa katika Bwana?
Hvyo ndio navipenda baby!Hapana mpenzi wangu. Agiza vingine ila Sio hivyo
Labda Kama ulipona kale ka ugonjwaHiyo lazima.
youngblood amekimbiwa na shem Nahrene kisa hajui kumpetipeti mwanamke, jamaa ameshachanganyikiwa na kujikuta anapalamia hovyo mashemeji zake kwa kuwaita 'shemdarling'.Brother humu lipi limejiri?!
Sasa wife mbona hivyo tenaHvyo ndio navipenda baby!
Mkaaa.Basi aniletee mkaa.
Mkuu hebu pumzika kidogo na hizo kazi....Goodmorning Guyz ni asubuhi ingine mwanana kabisa huku nilipo toka usiku kunanyesha mpaka mida hii..Hali hii ya hewa inaongeza amasa katika kupiga kazi kwa bidii..Niwatakie Asubuhi njema wote..
Basi baby!Sasa wife mbona hivyo tena
Kumbe we naye Kama youngbloodNa akikubali tuuiu lazima ufanye uharibifuuuu
Nani tena.Nimena Si ni Mali ya mkongwe fulanii maarufu