lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Ni mtamu babe!Udongo hapana baby wangu.
Ni mtamu babe!Udongo hapana baby wangu.
Tatizo la young blood ni usharo mwingi mwanamke anataka kubembelezwa

Wifi nasikia mambo tayariYes babe! Mwambie aniletee na mabungo. Na udongo.
kumbe ulisema brother asijue siri yetu...sorry.
Brother vipi?Umeamka salama Mkuu?
Asijali nitahudumia Sana ila tafadhali mtoto asije fanana na young bloodHahahaha halafu wifi yako anataka umletee mabungo. Ila udongo usilete kwa kweli
Hata kama baby wangu. Bora vingine ila udongo big NONi mtamu babe!
Mi mzima kabisaa vipi umeshukuru Mungu au umekurupukia humu?Salama mkuu habari ya wewe.
Ni shemdarlingHuogopi mke wa MTU?
Yes wifi mambo yameiva.Wifi nasikia mambo tayari
Shemdarling Wa miee....
Ukizubaa taa nitazima kama kawaida yangu.Kwa wifi anajisumbua sana. Mkewe kamshindwa ataweza kwangu
Hahahahahahah mbavu zangu bhanaNzurrrrr karibu mrembo
Ole wako mtoto wa Lizzy afanane na weweNi shemdarling
youngblood mshika pembe tu hana madhara. Unajua jamaa ana stress sana toka Nahrene asepeAsijali nitahudumia Sana ila tafadhali mtoto asije fanana na young blood
Chonde chonde asije fanana na young bloodYes wifi mambo yameiva.