Makapuku Forum

ZABURI 4

8.Katika amani nitajilaza,na kupata usingizi mara.Maana wewe,BWANA peke yako ndiwe unijaliae kukaa salama

Baba asante kwa ulinzi wako mchana kutwa,tunaomba toba kwayote tuliyokosea kwa mawazo maneno mtendo na kwa kutotimiza wajibu mbalimbali zinazotuhusu,asante kwa uzima asante kwa amani asante kwa kutupatanisha na asante kwa upendo mahali hapa,MUNGU wewe ndiye kimbilio letu na kiongozi wetu tujalie neema ya kujua dhambi zetu kukusudia kuacha,kujuta na kutubu na kuacha kabisa yale yasiyokupa utukufu,tujaze upendo wa kweli,mshikamano,uvumilivu ili tuje kuvikwa taji

Usiku huu BABA tukumbatie kama kuku anavyokumbatia vifaranga vyake,damu ya Yesu takatifu itufunike,wangalie wagonjwa,wenyechangamoto zozote,watie nguvu Mfalme wa Amani

Baba asante maana utatenda sawa na fadhili zako.

Tunaomba katika jina la Yeu Kristo Amen

SHALOM USIKU MWEMA WAPENDWA


Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 

Asante kwa sala na toba ya siku. Usiku mwema kwako pia
 
Na kwako pia
 
Sema ndo hivo huyo sabrina aliolewa akaachika ana watoto wanne kila mmoja na baba yake ...ila kuna mmoja wanasemaga ananifanana kwa mbalii


...yeah namjua huyo mtoto kaitwa jina la mama yake Sabrinho (kama mbrazil yaani), ni lazima ufanane naye maana kila siku unapita njia ile ile huangalii hata siku, iwe jpili au jumatatu hadi viatu vikaisha sole ukaanza kupekua.

Nitakupa namba yake
 
Amen
 
Umeukonga moyo wa mtaasisi

Wimbo huu umfikie Linamo popote pale alipo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…