Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Nimekuta hizo story huko nyuma. Niambie ulizima taa na nani?Shem mbona unanizushia habari mbaya.
Nimekuta hizo story huko nyuma. Niambie ulizima taa na nani?Shem mbona unanizushia habari mbaya.
Hii naipiga screenshot akirudi tu naitupia hapa kama ushahidi.Ahaaaa haaa....utaharibuuu kijana.
Unajua yule ni mke Wa ndoa kabisaa.... Hapaswi kujua
Utafute mchepuko mwingine Wa Nini???? Si ushaupata???? Ha haaNgoja na Mimi nitafute mchepuko
Hiyo kawaida maana mnapania Sana.Kama ulijua vile tayari, fanya haraka umlete wifi yako sema anasumbua. Hivi kwanini mkiwa kwenye hali hii mnakuwa hivi
Wewe si Una cute b? Labda nitoke na fake pastorUtafute mchepuko mwingine Wa Nini???? Si ushaupata???? Ha haa
Alafu kwanza Mimi ndio nimeachiwa wewe...
SalamaHabari zenu jamani?
Sumbai kumbe unataka kunifanya mchepuko?Ahaaaa haaa....utaharibuuu kijana.
Unajua yule ni mke Wa ndoa kabisaa.... Hapaswi kujua
Nikirudi home tu anachukua nguo niliyovaa anakaa nayo. Sasa usiku natumwa nikanunue supu ya maharage shemeji duuuh hiyo saa Tisa usiku ujueHiyo kawaida maana mnapania Sana.
Hajaanza kupenda jasho lako
Ha ha huyu jambilo alitaka kuzima taa kwa Lizzy Th Name akashitukaaa.....mapema...Hajapata bado, Patience123 alimpiga chini.
Alafu nasikia mchungaji alikuwa anatumia pesa ya sadaka kununua warembo.
Bado atapenda hadi supu ya dagaaNikirudi home tu anachukua nguo niliyovaa anakaa nayo. Sasa usiku natumwa nikanunue supu ya maharage shemeji duuuh hiyo saa Tisa usiku ujue
Nilimsaidia shemdarling aggyjay kuzima taa maana brother EMMYGUY alisahau majukumu yake.Nimekuta hizo story huko nyuma. Niambie ulizima taa na nani?
Mimi ndiyo nataka nitake place hapo niwe namsaidia kutunza sadaka.Hajapata bado, Patience123 alimpiga chini.
Alafu nasikia mchungaji alikuwa anatumia pesa ya sadaka kununua warembo.
Acha wakusaidieeeNaona unatest kina cha maji kwa miguu.
Hahahahaha shemeji. Ila sababu nampenda sana lizziebettie namuhudumia vizuri sanaBado atapenda hadi supu ya dagaa
Duh kwa Th name umechelewa tayari ashamvimbisha bila Shaka kaplay part yake vizuri.Nilimsaidia shemdarling aggyjay kuzima taa maana brother EMMYGUY alisahau majukumu yake.
Lakini pia niko njiani kumsaidia kuzima taa lizziebettie kama nikiona Th Name hatambui majukumu yake.
Na wengine wote wanaohitaji msaada wangu i'm always available.
Cc.cute b. &damtanzania.
Aisee.Mimi ndiyo nataka nitake place hapo niwe namsaidia kutunza sadaka.
.Nzurrrrr karibu mremboHabari zenu jamani?