Mkuu lizziebettie, habari ya usiku huu mpendwa?Tena kaathirika vibaya
Nzuri bwana brizMkuu lizziebettie, habari ya usiku huu mpendwa?
California kwa sasa ni zaidi ya saa 5 mkuuCalifornia mkuu
Mbona bado mapema sana braza.Lala wewe.
Shem, bado upo macho??
Bado shemShem, bado upo macho??
Naona umerud tu na jamaa nae kaamua kukatisha usingizi wakeNzuri bwana briz
Mbona simuoni humu? Kalala.Naona umerud tu na jamaa nae kaamua kukatisha usingizi wake
Tunakupenda pia, upumzike salama baba parokoMungu awalinde vijana wangu wa kike na wakiume, tuonane kesho nawapenda wote![]()
![]()
![]()
Kuachwa kubaya sana.Tena kaathirika vibaya
Ok nliona mkuu EMMYGUY kamquote mda c mrefu nkajua karudiMbona simuoni humu? Kalala.
Hongera.huku niliko ni saa mbili asubuhi mkuu
Mapendo daima.Mungu awalinde vijana wangu wa kike na wakiume, tuonane kesho nawapenda wote![]()
![]()
![]()
Nilidhani upo msibani Congo.California mkuu
Tulisongeshe, japo mbio zangu ni fupi.Bado shem