BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
I see,asante kwa hadithi,UF,BBC LEE
Huyo Mtanzania ameacha au amekataa?
Marahaba za uzima barikiwaAmen mama mchungaji
Ubarikiwe sana
Shikamoo mama
Za asubuhi kapukuLeo katika Historia
10/7/1976 - Ludovic Giuly. Mchezaji wa zamani wa Ufaransa na Barcelona anazaliwa.
Shukrani sana mkuuView attachment 538913Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa mzeewakungoa
Jumatatu njema makapuku wote
Ahsante sana Jorowe na kwako pia
AmenHabarini za asubuhi Makapuku Family
![]()
Habari yako JJAsante sana kwa UF Hadithi pamoja na dondoo za BBC
Amen asante
Habari yako mpendwa mtoto wa KimarioHabari ya asubuhi wapendwa
Karibu mkuuHivi punde tu tutapata nafasi ya kuitazama siku ya leo katika historia
Habari zenu wote....