Kwani hujui Instagram,Google,Facebook watu wanaingiza mkwanja?
Yaani ni km tusene JF ingekuwa inatulipa members kwa wingi wa views basi hii thread ingekuwa miongoni mwa 5 ambazo zingepiga hela ndefu
Ila JF wao hulipwa na Google na kugawana wenyewe sisi tumekuwa wauza sura tu
Ndio maana thread za kijingajinga hawafuti ndo zinaongoza kuwaongizia mkwanja
.....