Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yule kiungo mwenye mapafu..

Alikuja OT kww mbwembwe hadi tukampa jezi No. 7 ambayo hupewa wafalme wa OT..

Namzumzungumzia Memphis Depay . Ameamua kutoa wimbo wake wa Rap na kuonesha hana tuu kipaji cha mpira ila pia anaweza kuimba..

Jamaa ana 508k viewers hadi sasa toka uwekwe youtube week 2 zilizopita..


Wimbo ni huo hapo




sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
 
Wanapigaje mkwanja?

Dreams never end by fear
Kwani hujui Instagram,Google,Facebook watu wanaingiza mkwanja?
Yaani ni km tusene JF ingekuwa inatulipa members kwa wingi wa views basi hii thread ingekuwa miongoni mwa 5 ambazo zingepiga hela ndefu

Ila JF wao hulipwa na Google na kugawana wenyewe sisi tumekuwa wauza sura tu

Ndio maana thread za kijingajinga hawafuti ndo zinaongoza kuwaongizia mkwanja

.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom