Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Yule kiungo mwenye mapafu..
Alikuja OT kww mbwembwe hadi tukampa jezi No. 7 ambayo hupewa wafalme wa OT..
Namzumzungumzia Memphis Depay . Ameamua kutoa wimbo wake wa Rap na kuonesha hana tuu kipaji cha mpira ila pia anaweza kuimba..
Jamaa ana 508k viewers hadi sasa toka uwekwe youtube week 2 zilizopita..
Wimbo ni huo hapo [emoji116][emoji116]
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
Tecno kimeo noted
Nimeshindwa kuing'amua ni lugha gani aliyoitumia mbali na lugha ya mkoloni
Dreams never end by fear