Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ukienda setting kuna signature sasa weka none mi leo ilitokea ila nilirekebisha mapema maana natumia TECNO ni noma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Mbona hata mie natumia tecno tena ya promo tigo ila najionea kawaida tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kila mbuzi anakula kwa urefu Wa kamba yake

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Dada maTECNO
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
 
Hahaha
Kwani hujazoea tuu jamani...
Hahahaa! Kuna jamaa nimemkumbuka sijui kama ilikuwa ni stori ya kweli ama ni mboyoyo.

Kaenda kwa uchepukajini huku Tanga bhana.., watoto wa pwani wakamfukiza madawa ya kutosha..

Kaspend 2 days yuko ndani anabanikwa na mmama fulani..

Sasa kasheshe ilikuwa siku ya kurudi kwa mkewe..kila akioga yale marashi hayaishi yaani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] .

Ila jomba alilala gesti siku 2 tena ananukia marashi tuu..! ile sabuni ya Forma-Gold ndio ilikuja kumuokoa harufu ikaisha..

Nukia ila akunukishe mkeo..!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

sent from my Tecno Kimeo using jamiiforum mobile app
 
Hiyo ni kweeeli kabisaa

Yale hayaishi kirahisi kabisaa...
 
Back
Top Bottom