Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Now nimeweka 10 ili mipime ipi shida zaidiNiliweka 20 nikawa sielewi sijui ndio mazoea basi nikarudisha 10 per page
Dreams never end by fear
....
Now nimeweka 10 ili mipime ipi shida zaidiNiliweka 20 nikawa sielewi sijui ndio mazoea basi nikarudisha 10 per page
Dreams never end by fear
DuuuHapana Zenji hospitali umamos na jpili hazifunguliwi
Sorry... Uchovu wa safariAkuu umechanganya mafile mie sisuki![]()
![]()
,mzima lakini
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
![]()
![]()
![]()
Umenena vyema huu uzi kila wanaojaribu wanashindwa make kwanza utasikia wanataka wafanya kama makapuku ....wale chizi wa likes wenyewe wanashindana reply nadhani lakini kwa elimu kapuku mwanzo mwisho
Kanunue dawa umezeHapana Zenji hospitali umamos na jpili hazifunguliwi
Imewekwa leo ukipandsha mlima huo utaiona![]()
![]()
mbona mi sijaiona?!
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
We mfano mzuri unaonekana tulivyo wamoja ...mtu hasipoonekana tu siku moja tunajua huyu hayupo kama ni kutafuta jinsi ya kumpata inafanyikaaa ..MUNGU HATUPE NINI ...Tena bendera kufuata upepo
Mkiwa wengi ni vigumu kuelewanana wala kufanya kitu chochote cha maana
Pia thread km imejaa ujinga/makorokoro/matakataka ni vigumu kwa watu kuanzisha mada za maana maana zitafunikwa tu na uchafu
Bora kuwa wachache tunaoelewana kuliko wengi halafu tunavurugana
.........

Yanakera si kidogo...
Halafu leo naona ni kila member ako na sign
Kama mm hapaUkizaliwa kiziwi mdomo utakuwa mzito maana mtu hujifunza kuongea kwa kuwasikiliza wengine
Wenye ma tatizo wengi ya kutokusikia hawajui kuongea kabisa
Ila kwa wale wanaoyapata ukubwani wakati tayari washajua kuongea huwa sio tatizo sana changamoto huwa kujifunza lugha za kigeni tu (English,Kifaransa n.k)
Dunia nzima ukizowi ni changamoto ......wengi huupata kutokana na matumizi ma baya ya dawa ,maambukizi kwenye sikio,ajali viwanda ni n.k
.......
Aiseee bahati nzuri kesho j3 Mungu amuweke kesho aamkie hospHatari sana, maisha ya huko naona wanayaweza wazawa tu
Dreams never end by fear
Msiofu ntakuwa naipandisha usku sanaInaonekana katingwa
Akina TECNO ndo hatutaki kusikia kabisaNa kweeli... Mie nikajua mods wamefanya yao
Zenji ni Nchi,kisiwa,mtaa au kijiji?
Mbona kuna mambo ya ajabu wakati ni Tanzania hapa hapa
....
ni nchi iliyo ndani ya nchiKupata views, kwenye blog,websiteSjui wanapata faida gn kuzushia vifo wenzao
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Kakufurahisha ee?!Tumosa !
Unaharishaa?
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app

Uwe na amani pole na uchovuSorry... Uchovu wa safari
Nitakutafuta![]()
![]()
![]()
karibu sana
Labda alikuja na hirizi![]()
![]()
Panalindwa na Damu ya Yesu unajua,ulikuja na nini mpaka uogope