Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Cc LeeMr X
Dreams never end by fear
Cc LeeMr X
Dreams never end by fear
SawaSorry T hilo swali la Sakayo
Yanakera si kidogo...Yale maandishi yanakera ukiyagusa tu yanakupeleka huko porini kabisa maana ni link
![]()
![]()
![]()
......
Aisee 50 per page bro huko ku-scrow ni hatari![]()
Nenda setting signature weka None
....
Sio kusalimia tu nakuja kuoa kwenuKaribu sana now uckatize uje utusalmie
Asante sana SakayoPole mwaya...
Baadae kidogo
Aisee pole sanaNilishapoa na kuzoea
Maana tangu April mwishoni nabugia tu vidonge utafikiri mtu mwenye VVU
![]()
![]()
![]()
.......
Yes boss your rightThat the motto today huh?
Dreams never die by fear
Tutamshauri asifanye uzembe tenaHuo ugonjwa usiuchukulie poa ni hatari
Ila ukifuata masharti mtu unapona kabisa
......
OyoooNimemjibia mpendwa wangu
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Na ukiweka 10,20,30 au 40 pia una kazi ya kusukuma pageAisee 50 per page bro huko ku-scrow ni hatari
Dreams never end by fear
KaribuAsante sana Sakayo
Yale maandishi yanakera ukiyagusa tu yanakupeleka huko porini kabisa maana ni link
![]()
![]()
![]()
......
Utapona tu ndgu ynguNilishapoa na kuzoea
Maana tangu April mwishoni nabugia tu vidonge utafikiri mtu mwenye VVU
![]()
![]()
![]()
.......
Wiki hii amekuwa slow sana kumuendelezaCc Lee
Hyo mbona hatari sanaNdio hata pharmacy hazifunguliwi
Diktetaana majukumu ya kikazi
MimiTangu J3 sipo vizuri kiafya ndo maana kumi kubwa siandiki pia kuna mambo yamebana
Trancescendkasema wazi kazi zimembana
Leevitu vyake vipo pale pale
ObeMuziki upo km kawa
Shululukila siku magazeti yapo
JimenaKaziba pengo la Dikteta japo siyo sana
Shumiekuna majukumu yamembana
Kina Bailly, Husna Tumosa,Mama Mchungaji,Nyagei n.k mbona wapo mara mojamoja km kawaida yao
Ila pia akina Yuda hawajakosekana .....ndo hapo usemi wa pats shida umjue rafiki yako
Tukubali uzi upo kwenye kipindi kigumu na hii siyo mara ya kwanza kumbuka uzi una zaidi ya mwaka kinachofanya uonekana kwamba kumepoa sana ni uwepo wa uzi mwingine ambao unafanana na huu kila kitu yaani copy & paste .....hivyo km vile watu wanajisikia kulinganisha au kushindanisha kitu ambacho sisi hatujishughulishi nacho
Tuishi sisi km sisi no matter what
.............
Raha saaanaSio kusalimia tu nakuja kuoa kwenu
Wanyaki tunawezana wenyewe
![]()
![]()
![]()
......
Imetokea kwa wote automatically sasa wapo wasiofahamu jinsi ya kuyaondoa hayo matakatakaYanakera si kidogo...
Halafu leo naona ni kila member ako na sign
Tumekumic piaSalama kabisa shem wane, nimehamu sana![]()
![]()
Dreams never end by fear