Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Duu picha nzuriiAsante mdau
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Duu picha nzuriiAsante mdau
Anakusuka au 'anakusuka'?
Sorry T hilo swali la Sakayo
Ndo ananisuka mieeeeh
Safi maamboMpendwa wa Obe za kwako
Pole kaka akeFuatilia mdau utujuze
Mi asubuhi naelekea MOI (nimewahi kuwaambia nilipataga ajali hivyo natibiwa tangu April hadi Agosti mwanzoni) ndo muda niliopangiwa kutumia dawa
......
Viporo gn?!Mpendwa wa Obe unapenda viporo wewe![]()
![]()
![]()
Ha ha ha ha ha.. That is rightHilo ndo jibu, ujue kuko na pori mingi
NzuriHabari za j2 wapendwa
Safi maambo
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Sawa buanaaHaya buana
Kweli kabisaPia Lee amwendee chemba ampe ushauri
Huyu ndo tabibu/mwanabailojia wetu
![]()
![]()
![]()
.. ....
HahahaSorry T hilo swali la Sakayo
Hapana humu ndan usiku kuna ogofya
kwahiyo ulikimbia lindo?!