Makapuku Forum

Makapuku Forum

72287646962caba5e047eec6fab83341.jpg
Aisee, mbaya wa Mugabe huyo
 
Wakala wa James Rodriguez amewaambia Liverpool, Manchester United, Inter Milan, Juventus, Manchester City na PSG kuwa wanaweza kumsajili kiungo huyo wa Real Madrid, lakini hakuna kati ya timu hizo iko tayari kutoa euro milioni 75 wanazotaka Real, ambao wanataka kumuuza kutokana na kuwasili kwa Dani Caballos (SPORT).
Nao wanamuuza bei kubwa mno
 
Baada ya kuwazidi kete Chelsea katika kumsajili Romelu Lukaku, Manchester United wamemsajili Lomelu Lukakuwanataka kuwapiku tena katika kumsajili kiungo Tiemoue Bakayoko kutoka Monaco, ambao wamekasirishwa na kasi ndogo ya Chelsea kumfuatilia mchezaji huyo. United watamchukua ikiwa watashindwa kumpata Nemanja Matic kutoka Chelsea (The Sun)
Tukimpata na bakayoko Epl msimu ujao sis Mabingwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom