mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Ha ha ha ha ha ha.....hiyo vita sijui ya Nyoka au ya SimbaVita
Ha ha ha ha ha ha.....hiyo vita sijui ya Nyoka au ya SimbaVita
We mlokole ndio uvae hivyo?!!!Ndie mimi![]()
![]()
![]()
Hmmm...... Huyo mkongoMkongo leo yuko slow sanaaa
Ko huna jibuntajibu nini hapo?
AiseeNi ulcers kipindi kile ilijirudia na hata leo pia imerudi
Dreams never end by fear
Huko porini nilikokuwa sijamuona Shunie... Kwa hio Sina cha kujibu.Ko huna jibu
Naona unauzima kiainaaShululu usipulizie moto
Haya bwanaHa ha ha ha ha ha.....hiyo vita sijui ya Nyoka au ya Simba
Hata phamacy hazifunguliwi kwaniSeriously Mondray yuko na hali mbaya, sijui huko visiwani wanaishije
Dreams never end by fear
Ndo ananisuka mieeeehHmmm...... Huyo mkongo
Shemela hbr ya uzimaTumosa
Dreams never end by fear
Kwetu tky buanaKumbe mnyaki mwenzangu upo
Tukuyu,Kyela,Rungwe,Chunya,Ileje au
Mbombo bgafu
![]()
![]()
![]()
.........
Anakusuka au 'anakusuka'?Shemela hbr ya uzima
Hata mm nmemuona ni maamuzi yke muache![]()
![]()
![]()
Kule sijui wako na akili gani cause kila mmoja anasema lake then wanataka kujifananisha na Kapuku's
Nabaki kushangaa tu
Kuna ndugu yetu mmoja siku hizi namuona yupo kule all the time sijui nini mbaya imetokea.
Dreams never end by fear
Huwa napita sana kila Mwisho/mwanzo wa mwaka kupelekea Kyela hata Agosti naweza kukatizaKwetu tky buana
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Hilo ndo jibu, ujue kuko na pori mingiHuko porini nilikokuwa sijamuona Shunie... Kwa hio Sina cha kujibu.