Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndiooo

Mbona uzi umepoa hivyo
Dikteta ana majukumu ya kikazi
Mimi Tangu J3 sipo vizuri kiafya ndo maana kumi kubwa siandiki pia kuna mambo yamebana
Trancescend kasema wazi kazi zimembana
Lee vitu vyake vipo pale pale
Obe Muziki upo km kawa
Shululu kila siku magazeti yapo
Jimena Kaziba pengo la Dikteta japo siyo sana
Shumie kuna majukumu yamembana
Kina Bailly, Husna Tumosa,Mama Mchungaji,Nyagei n.k mbona wapo mara mojamoja km kawaida yao

Ila pia akina Yuda hawajakosekana .....ndo hapo usemi wa pats shida umjue rafiki yako

Tukubali uzi upo kwenye kipindi kigumu na hii siyo mara ya kwanza kumbuka uzi una zaidi ya mwaka kinachofanya uonekana kwamba kumepoa sana ni uwepo wa uzi mwingine ambao unafanana na huu kila kitu yaani copy & paste .....

Hivyo km vile watu wanajisikia kulinganisha au kushindanisha kitu ambacho sisi hatujishughulishi nacho
Tuishi sisi km sisi no matter what
.............
 
Dikteta ana majukumu ya kikazi
Mimi Tangu J3 sipo vizuri kiafya ndo maana kumi kubwa siandiki pia kuna mambo yamebana
Trancescend nasema wazi kazi zimembana
Lee vitu vyake vipo pale pale
Obe Muziki upo km kawa
Shululu kila siku magazeti yapo
Jimena Kaziba lengo la Dikteta japo siyo sana
Shumie kuna majukumu yamembana
Kina Bailly, Husna Tumosa,Mama Mchungaji,Nyagei n.k mbona wapo mara mojamoja km kawaida yao
Ila pia akina Yuda hawajakosekana .....ndo hapo usemi wa pats shida umjue rafiki yako

Tukubali uzi upo kwenye kipindi kigumu na hii siyo mara ya kwanza kumbuka uzi una zaidi ya mwaka kinachofanya uonekana kwamba kumepoa sana ni uwepo wa uzi mwingine ambao unafanana na huu kila kitu .....hivyo km vile watu wanajisikia kulinganisha
Tuishi sisi km sisi no matter what
.............
Poa Poa
 
Once a Kapuku..

Forever......
 
f53523e65e13ea0ac6b2492296852ae3.jpg
Much missing you brother how's there?

Dreams never end by fear
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom