Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
AsanteUbarikiwe my dear Sakayi kwa baraka
AsanteUbarikiwe my dear Sakayi kwa baraka
Hata sijuiPoa poa madam
Hivi hiyo ni signature yako au?
Dreams never end by fear
Ile Ulcers imerudi kaka? Polee mkuuTumbo linakata nashindw Hadi kuongea vzr..
Eeeeh!Hapana Zenji hospitali umamos na jpili hazifunguliwi
Its Sakayo not Sakayi..Ubarikiwe my dear Sakayi kwa baraka


SawaNext week atakuja
AtaitikaUbarikiwe sana Sakayo wa T ,
Msalimie T
Hiyo dreams never.... bla blaa ni signature?Ila ni vizuri unaweza kuandika
Dreams never end by fear
NimekuhamuSawa
Niambie babeNimekuhamu
ThanksMuch kisses!
![]()
Zenj n nchi mkuuZenji ni Nchi,kisiwa,mtaa au kijiji?
Mbona kuna mambo ya ajabu wakati ni Tanzania hapa hapa
....
Good afternoon kapukuSijapita humu takribani wiki nzima.
Good afternoon Makapuku
TunalimaHodi... Huwa Mnafanya Nini Hapa
Kilimo gani? Maana mmezidi kukita kambi hapaTunalima
JamaniiiiUjue umechelewa kwenda kusuka!
Kesho tusisumbuane..!