Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakala wa James Rodriguez amewaambia Liverpool, Manchester United, Inter Milan, Juventus, Manchester City na PSG kuwa wanaweza kumsajili kiungo huyo wa Real Madrid, lakini hakuna kati ya timu hizo iko tayari kutoa euro milioni 75 wanazotaka Real, ambao wanataka kumuuza kutokana na kuwasili kwa Dani Caballos (SPORT).
 
Baada ya kuwazidi kete Chelsea katika kumsajili Romelu Lukaku, Manchester United wamemsajili Lomelu Lukakuwanataka kuwapiku tena katika kumsajili kiungo Tiemoue Bakayoko kutoka Monaco, ambao wamekasirishwa na kasi ndogo ya Chelsea kumfuatilia mchezaji huyo. United watamchukua ikiwa watashindwa kumpata Nemanja Matic kutoka Chelsea (The Sun)
 
Dani Ceballos, 20, amekubali mkataba wa miaka sita kujiunga na Real Madrid kutoka Real Betis na atakamilisha mkataba wa euro milioni 18. Barcelona walikuwa 'wakimchombeza' mchezaji huyo (Marca).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom