Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Hunitakii mema ....Yuko shambaa naskia anapika mkaa
Hunitakii mema ....Yuko shambaa naskia anapika mkaa
Nimeamka salama na niseme asante kwa BlessedHope kwa sala ya asubuhi (afu sijui kwanini nikisali kabla sijala huwa sisinzii kabisa)
Mdau shululu asante sana kwa magazeti.
Mndali ndanyelakakomu tafadhari punguza kifungo ulichojifunga, hii ni asubuhi njema
muache tu kifungo cha kujifunga mwenyewe huwa kinanoga sana
Asante sana mdau, hivi unajua nini! KF ni sehemu nzuri sana kwa sababu wewe upo na umekuwa sehemu muhimu ya Kapuku Forum

Nami huwa unanivutia sana huu wimbo mashairi yake hunifanya najisikia nina deni kwa aliye JUU hata kama kile ninachoomba hakijafanikiwa, ni suala la muda, nina imani hiyo.
Ni wimbo mzuri sana maana YouTube una viewers zaidi ya 10+m
Asubuhi njema

Nenda ukapokee barakaDada yangu, nakupenda bure...dada yetu wewe...napenda unavyompenda Mungu, unanipa deni..nitakuwa mgeni wako soon unipe maombi ya nguvu
Lakini sio mbaya angalauStars wamejitahidi
Ila bado hatuwezi mpira
Lesotho tu katusumbua
.......
...huo ugeni wako usubiri kwanza mimi nitoke kumtembelea, mimi nina mambo ya msingi na ya kijamii zaidi. Usijesema sijakwambia
mtamuuliza mamamchuchu mwenyewe ndio awaambie nani aanze kwenda
Km VP piganeni mshindi ndio ataanza kwendaMkuu unataka kunipangia muda wa kuonana na dadangu?
Kiki sio kwa wasanii tuVyeti feki ilishapoa
Ikaja makinikia
Now tunarudi kule kule
.....
...swezi kukupangia muda wa kuonana naye, hapana. Ila kama kusema usubiri nimalizie safari yangu ya kipekee ndo uende ni kukupangia bora iwe hivyo.
Nyagei alipanga kuja naye kipindi naumwa matokeo yake safari ikapotelea hewani, nimeshajifunza. siangalii cha kaka wala bulaza, wote msubiri hadi mimi nitoke.
Ila sizuii mtu

GoodMimi naamini Siku zote katika ukimfanyia mtu jambo jema hana anachokudai
Hivyo nikipata fursa kuwa na urafiki na mtu/mpenzi huwa naishi nae vizuri Siku akijisikia kunisaliti au kunifanyia jambo baya mfano kunizungumxa vibaya kwa watu huwa napotezea tu ilimradi najua sikumfanyia jambo lolote baya hivyo moyoni huwa sina presha na maisha huendelea huku yeye mpyo utaendelea kumsuta
Pia huwa sinaga bembeleza bembeleza n.k huwa napenda mtu afanye mambo kwa utashi wake mwenyewe
...............
..hapana, sina lingine. Nikifika utaondoka sawa sawa (kwa sauti ya Maalim)

Nimesema piganeni mshindi ndio ataanza kwendaMimi sipangiwi..(kwa sauti ya jpm)
HahahaMi hata kwa karibu sijakiona
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.....