Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Naona leo umeamua kakaSitasahau kf, imenipa ndg na marafiki
Naona leo umeamua kakaSitasahau kf, imenipa ndg na marafiki
Kwa sehemu nakufamu ulivyo, hujui kuremba Bitoz, huwa unaongea unachokiamini bila kujali kitamfurahisha nani na kumuudhi nani.Mimi naamini Siku zote katika ukimfanyia mtu jambo jema hana anachokudai
Hivyo nikipata fursa kuwa na urafiki na mtu/mpenzi huwa naishi nae vizuri Siku akijisikia kunisaliti au kunifanyia jambo baya mfano kunizungumxa vibaya kwa watu huwa napotezea tu ilimradi najua sikumfanyia jambo lolote baya hivyo moyoni huwa sina presha na maisha huendelea huku yeye mpyo utaendelea kumsuta
Pia huwa sinaga bembeleza bembeleza n.k huwa napenda mtu afanye mambo kwa utashi wake mwenyewe
...............
Naota auuu....Jimena nakosa neno zuri la kukwambia, wewe ni zaidi ya dada, nikikuita dada haitoshi, u mtu muhimu kwangu sana.
Moyo wangu waniambia nikwambie neno, lkn midomo yangu inasita, ulimi unagandamana eti waniambia SUBIRI KWANZA.
Ninapokukosa humu yaani nabaki kuwa msomaji wa posts, nakosa la kuandika.
Lakini nikuonapo hapa JIMENA moyo wangu huchangamka.
Kwasababu MIDOMO yangu imeshindwa kutamka neno juu yako Jimena, hebu usome moyo wangu...usinyamaze Jimena, sema neno na moyo wangu uwe salama.
- nalikusaka kila mahali JJ
-hadi nchi ya baridi nalikuona
-nalikuona umevaa koti zito/jacket
Nchi za watu, ulivyopendeza Jj
Nalitamani nikukimbilie
Nije nikushike mkono na
niseme moyo wangu kwako
Lakini palikuwa na ukuta
mbele yangu.
Kuna siku ukaja bongo,
Nikakuona kwenye foleni
pale Nyerere rd maeneo ya
Tazara ukiwa kwenye ile gar
Kali nami nikiwa kwenye
Mandolin yangu,
Nilitamani nishuke nije niku![]()
Lakini haikuwezekana.
Jimena umejaaliwa moyo mzuri,
Muumba amekupa afya ya kuvutia
Body lako kwangu ni zaidi ya lulu na dhahabu..ninalipendaje.
U msichana mcheshi, popote uingiapo watu hutambua sasa mwanamke washoka kaingia.
Una misimamo thabiti...hii ni nguzo muhimu kwangu.
Jimana, Jimenes, JJ
ni majina yako matamu kwangu ewe mrembo.
Hivi nimeandika nini eti Jimena!
Hivi nimeeleweka kweli!!!
Wajanja watakwambia achana naye yule mjinga...usisikilize
Kabla hujasema neno jema au baya kwangu, jaribu kuuvaa moyo wangu..uhisi kitu halafu uvae na viatu vyangu...utapata la kuniambia
Ukifungua moyo wangu utaona alama hizi hebu zisome![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
1. Jimena
2. Jimena
3. Jimena
4. Jimena
Mkimwona mwiteni
Mwambieni yoote
Mwelezeni aelewe
Jimena aaaa
Jimena mtoto wa kwetu.
Halafu Hujaenda Church eeehBlessedHope dada yetu wa ukweli, umekuwa mtumishi wa wote ukizikumbusha roho zetu kwa Mola
Mimi sipangiwi..(kwa sauti ya jpm)..hapana, sina lingine. Nikifika utaondoka sawa sawa (kwa sauti ya Maalim)
Yaani leo ninakumbuka mema yote ya humuNaona leo umeamua kaka
YesMmmmh
Nimeamka salama na niseme asante kwa BlessedHope kwa sala ya asubuhi (afu sijui kwanini nikisali kabla sijala huwa sisinzii kabisa)
Mdau shululu asante sana kwa magazeti.
Mndali ndanyelakakomu tafadhari punguza kifungo ulichojifunga, hii ni asubuhi njema

Sawa bwanaaYaani leo ninakumbuka mema yote ya humu
All the best
Kawaida tuKwa sehemu nakufamu ulivyo, hujui kuremba Bitoz, huwa unaongea unachokiamini bila kujali kitamfurahisha nani na kumuudhi nani.
Mwanzoni ulinipa wakati mgumu kukuelewa, lakini sasa nakuelewa, na hii kwa upande flani ni nzuri kwani hakuna unafiki.
Hii ni faida kwako utakuwa na maisha marefu, huna cha kuhifadhi ndani kinafiki.
Nakuelewa mkuu

I see