Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
Kaka endeleeni kupafanya kf kuwa mahali pa kuvutia, pamoja sana
Asante sana mdau, hivi unajua nini! KF ni sehemu nzuri sana kwa sababu wewe upo na umekuwa sehemu muhimu ya Kapuku Forum
Kaka endeleeni kupafanya kf kuwa mahali pa kuvutia, pamoja sana
Nami nimeupenda sana huu wimbo, Asante obe
Amen kakaAsante sana mdau, hivi unajua nini! KF ni sehemu nzuri sana kwa sababu wewe upo na umekuwa sehemu muhimu ya Kapuku Forum
Dada yangu, nakupenda bure...dada yetu wewe...napenda unavyompenda Mungu, unanipa deni..nitakuwa mgeni wako soon unipe maombi ya nguvuWooow!Jesus..even if you don't my hope is you alone..it is well with my soul.....am BLESSED OBE![]()
POWERFUL..JUMAPILI NJEMA
Pole sana
Nasikia umefiwa na paka wako
...
Stars wamejitahidi
Dada yangu, nakupenda bure...dada yetu wewe...napenda unavyompenda Mungu, unanipa deni..nitakuwa mgeni wako soon unipe maombi ya nguvu
Mkuu unataka kunipangia muda wa kuonana na dadangu?...huo ugeni wako usubiri kwanza mimi nitoke kumtembelea, mimi nina mambo ya msingi na ya kijamii zaidi. Usijesema sijakwambia
Naona jino kwa jino imeanza kufanya kazi
Vyeti feki ilishapoa
Poa mdauView attachment 538326Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Mama mchungaji BH
Nawatakieni jumapili njema
Mkuu unataka kunipangia muda wa kuonana na dadangu?
Mimi naamini Siku zote katika ukimfanyia mtu jambo jema hana anachokudaiAmen kaka
Hapa panipa hatua muhimu
Pameongeza marafiki wa ukweli
Msiruhusu chuki vijembe vitugawe
Tuongozwe na busara na kuvumiliana
Mawazo yetu hayafanani wala uelewa wetu haufanani lakini tunaunganishwa na MAPENZI yetu juu ya KF hivyo sisi ni zaidi ya ndg. Tuheshimiane bila kujali madhaifu yetu kwani hatutakaa tufanane kwa mawazo na uelewa, hilo tumegawiwa na MUUMBA hatukuchagua tuwe kama tulivyo. Nawaheshimu woote
Bitoz
shululu
Jimena
Shunie
Utanikuta, mimi nipo naye tayari...una lingine!!!...swezi kukupangia muda wa kuonana naye, hapana. Ila kama kusema usubiri nimalizie safari yangu ya kipekee ndo uende ni kukupangia bora iwe hivyo.
Nyagei alipanga kuja naye kipindi naumwa matokeo yake safari ikapotelea hewani, nimeshajifunza. siangalii cha kaka wala bulaza, wote msubiri hadi mimi nitoke.
Ila sizuii mtu
Utanikuta, mimi nipo naye tayari...una lingine!!!
AmeeenTUOMBE:Asante Baba kutuamsha salama,tunaomba ututakase na jumapili ya leo Baba ukaifanye iwe baraka kwetu,ukaonekane kwa kila mmoja wetu Mfalme wa Amani,Baba gusa kila mmoja mahali hapa sawa na mapenzi yako,mpe kila mmoja haja ya moyo wake tunafahamu unatupenda na unatuwazia mema Baba yetu mwema basi tunajikabidhi mikononi mwako tukauone ukuu wako na maisha yetu na mioyo yetu ikapate kufarikijika katika wewe na tukabadilike miili na roho zetu zitakasike na kuponywa, Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen
JUMAPILI NJEMA ..KWA WANAOENDA IBADA ..IBADA NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
Amina, Msalimie pia.....Mwambie dadake nammissWapendwa Shunie anawasalimia sana MAKAPUKU WOTE,Anasema ANAWAPENDA SANA,ANAWAMIS ANAWAOMBEA...MBARIKIWE![]()
MorningMorning ndg zangu