Makapuku Forum

Makapuku Forum

TUOMBE:Asante Baba kutuamsha salama,tunaomba ututakase na jumapili ya leo Baba ukaifanye iwe baraka kwetu,ukaonekane kwa kila mmoja wetu Mfalme wa Amani,Baba gusa kila mmoja mahali hapa sawa na mapenzi yako,mpe kila mmoja haja ya moyo wake tunafahamu unatupenda na unatuwazia mema Baba yetu mwema basi tunajikabidhi mikononi mwako tukauone ukuu wako na maisha yetu na mioyo yetu ikapate kufarikijika katika wewe na tukabadilike miili na roho zetu zitakasike na kuponywa, Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen

JUMAPILI NJEMA ..KWA WANAOENDA IBADA ..IBADA NJEMA MBARIKIWE
 
30ced3fd154d5a7aab1b1f92ee3b3ab7.jpg
Hahahaha
 
Muziki: Jumamosi Fleva

Ni jumamosi usiku sasa, lakini kama ilivyokuwa koloni la Malkia Liz, unaweza kuta ni saa sababu mchana sehemu fulani na wote tunaungana hapa KF kuburudika.

Usidanganywe na utando wa juu wa uji ukauparamia, juu umepoa ila ndani ni wa moto pasi mfano. Hii ndo hali ya leo humu KF, asanteni sana kwa mlioamua kupumzika. Mapumziko yenu tunayapenda na kipengele cha muziki kipo kuwaburudisha

Leo ni siku ya miziki ya kisasa zaidi na ni jambo zuri kwamba Makapuku Forum ni sehemu bora kabisa kuwa na hasa kwa kuwa wewe unayesoma segement hii u sehemu yake. Najua unajijua kuwa u mtu maalum kabisa pasi mfano si wale moja haikai mbili haiingii.

Kuna kolabo zinavutia kutazama wakiimba maana wote wanajua na utawafurahia. Sikiza kolabo hii ya komandoo pekee wa Tanzania ambaye huwa hakaribishwi sherehe za muungano kupasua matofari, yeah, Lady JayDee mkali mwenye sauti ya iliyopangika Kisababto na itakuvutia. Hapa anaungana Kidumu, unataka niongee nini kuhusu Kidumu. Tizama

Asante Obe ubarikiwe
 
TUOMBE:Asante Baba kutuamsha salama,tunaomba ututakase na jumapili ya leo Baba ukaifanye iwe baraka kwetu,ukaonekane kwa kila mmoja wetu Mfalme wa Amani,Baba gusa kila mmoja mahali hapa sawa na mapenzi yako,mpe kila mmoja haja ya moyo wake tunafahamu unatupenda na unatuwazia mema Baba yetu mwema basi tunajikabidhi mikononi mwako tukauone ukuu wako na maisha yetu na mioyo yetu ikapate kufarikijika katika wewe na tukabadilike miili na roho zetu zitakasike na kuponywa, Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen

JUMAPILI NJEMA ..KWA WANAOENDA IBADA ..IBADA NJEMA MBARIKIWE
Amen mama mchungaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom