Makapuku Forum

Makapuku Forum

Romelu Lukaku.

Yaani USA hawataki upuzi upuzi...

Jamaa anatakiwa Mahakamani nchini marekani mwezi october mwaka huu..
f8950a80d37ba4a3a42338a4162264c3.jpg
fcefcc820b92ca8d5d4c4ed168c3aa4c.jpg
Tatzo la Lukaku n kukosa nidhamu
 
...swezi kukupangia muda wa kuonana naye, hapana. Ila kama kusema usubiri nimalizie safari yangu ya kipekee ndo uende ni kukupangia bora iwe hivyo.

Nyagei alipanga kuja naye kipindi naumwa matokeo yake safari ikapotelea hewani, nimeshajifunza. siangalii cha kaka wala bulaza, wote msubiri hadi mimi nitoke.

Ila sizuii mtu
 
TUOMBE:Asante Baba kutuamsha salama,tunaomba ututakase na jumapili ya leo Baba ukaifanye iwe baraka kwetu,ukaonekane kwa kila mmoja wetu Mfalme wa Amani,Baba gusa kila mmoja mahali hapa sawa na mapenzi yako,mpe kila mmoja haja ya moyo wake tunafahamu unatupenda na unatuwazia mema Baba yetu mwema basi tunajikabidhi mikononi mwako tukauone ukuu wako na maisha yetu na mioyo yetu ikapate kufarikijika katika wewe na tukabadilike miili na roho zetu zitakasike na kuponywa, Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen

JUMAPILI NJEMA ..KWA WANAOENDA IBADA ..IBADA NJEMA MBARIKIWE
Ubarikiwe Blessed Hope
 
Jimena nakosa neno zuri la kukwambia, wewe ni zaidi ya dada, nikikuita dada haitoshi, u mtu muhimu kwangu sana.
Moyo wangu waniambia nikwambie neno, lkn midomo yangu inasita, ulimi unagandamana eti waniambia SUBIRI KWANZA.
Ninapokukosa humu yaani nabaki kuwa msomaji wa posts, nakosa la kuandika.
Lakini nikuonapo hapa JIMENA moyo wangu huchangamka.

Kwasababu MIDOMO yangu imeshindwa kutamka neno juu yako Jimena, hebu usome moyo wangu...usinyamaze Jimena, sema neno na moyo wangu uwe salama.
- nalikusaka kila mahali JJ
-hadi nchi ya baridi nalikuona
-nalikuona umevaa koti zito/jacket
Nchi za watu, ulivyopendeza Jj
Nalitamani nikukimbilie
Nije nikushike mkono na
niseme moyo wangu kwako
Lakini palikuwa na ukuta
mbele yangu.
Kuna siku ukaja bongo,
Nikakuona kwenye foleni
pale Nyerere rd maeneo ya
Tazara ukiwa kwenye ile gar
Kali nami nikiwa kwenye
Mandolin yangu,
Nilitamani nishuke nije niku
Lakini haikuwezekana.

Jimena umejaaliwa moyo mzuri,
Muumba amekupa afya ya kuvutia
Body lako kwangu ni zaidi ya lulu na dhahabu..ninalipendaje.
U msichana mcheshi, popote uingiapo watu hutambua sasa mwanamke washoka kaingia.
Una misimamo thabiti...hii ni nguzo muhimu kwangu.

Jimana, Jimenes, JJ
ni majina yako matamu kwangu ewe mrembo.
Hivi nimeandika nini eti Jimena!
Hivi nimeeleweka kweli!!!
Wajanja watakwambia achana naye yule mjinga...usisikilize
Kabla hujasema neno jema au baya kwangu, jaribu kuuvaa moyo wangu..uhisi kitu halafu uvae na viatu vyangu...utapata la kuniambia
Ukifungua moyo wangu utaona alama hizi hebu zisome

1. Jimena
2. Jimena
3. Jimena
4. Jimena

Mkimwona mwiteni
Mwambieni yoote
Mwelezeni aelewe
Jimena aaaa
Jimena mtoto wa kwetu.
Jimena, Jimenes muda wa kupwekeka umekutosha, sasa ni majira ya moyo wako kuchanua tena
Ukuje huku upesi, uniambie neno jmn
Siwezi kuvumilia kukuonaaa
Jimena
 
Jimena, hii mic niliyoishika, ninakuimbia wimbo mtamu etiii
 
Mpira wetu niwa kuandikwa magazetini tu, mara kichuya anatisha au maguli, wakati timu inatakiwa icheze pamoja, sasa kila mchezaji anatafuta sifa ya kuandikwa gazetini
Mpira wanaujua Wajerumani tu...sisi ni sawa na Waingereza
COSAFA timu nyingi zilipeleka timu B sisi tulipeleka chama kamili kisha tumepigwa 4 na hata Lesotho katutoa jasho
Bongo tunapenda soka lakini soka halitupendi
.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom