Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Kila mtu kwa nafasi yke Obe mbona mama yetu ni mkarimu hope atawakaribisha wote,na kila mtu na shida ake...huo ugeni wako usubiri kwanza mimi nitoke kumtembelea, mimi nina mambo ya msingi na ya kijamii zaidi. Usijesema sijakwambia
...swezi kukupangia muda wa kuonana naye, hapana. Ila kama kusema usubiri nimalizie safari yangu ya kipekee ndo uende ni kukupangia bora iwe hivyo.
Nyagei alipanga kuja naye kipindi naumwa matokeo yake safari ikapotelea hewani, nimeshajifunza. siangalii cha kaka wala bulaza, wote msubiri hadi mimi nitoke.
Ila sizuii mtu

Sakayo wa T hbr yakoAmina, Msalimie pia.....Mwambie dadake nammiss
Kila mtu kwa nafasi yke Obe mbona mama yetu ni mkarimu hope atawakaribisha wote,na kila mtu na shida ake
Msaidie kaka ako kufikisha ujumbe huoNaota auuu....
Jimena ukuje huku
Mida gani huwa anakuja?Muda huu huwezi kumpata kwa leo
Pogba na mzee Wa TMT wanatabia za ki Africa sanaRangi nyeusi tuna tatizo
Kila nikimwangalia Pogba naishia kuchwka tu
....
Ni mfungaj mzuri.....sema mfumo wa team unaweza mfanya awe bora au awe kama Lukaku wa chelsea...hilo akilicontrol atakuwa bora.
Ila binafsi sijawahi kumuona kama mfungaji mzuri sana. Labda kwa kuwa yuko na Mou atang'ara zaidi
Sawa Obe,hbr ya jumapiliSijabisha kabisa, na sijamzuia mtu kwenda kumuona ila angalizo safari zote zifanyike baada ya mimi kufika.
Kuna faida za mimi nikitangulia, nyingi sana nakwambia
Asante mama watoto wanguAsante baba watoto barikiwa jumapili ya leo
Mama watoto za kuamkaShikamoo baba watoto,pole na uchovu
Ngoja tuone...hilo akilicontrol atakuwa bora.
Ila binafsi sijawahi kumuona kama mfungaji mzuri sana. Labda kwa kuwa yuko na Mou atang'ara zaidi
Atakuja saa 8Mida gani huwa anakuja?
See you soonMamii leo nimesali home, naingia kazini kama ujuavyo nnko na muda mfupi hapa
Pamoja ObeMida kidogo wadau. Tuwe na wakati mzuri
Sawa tuuUsinitanie, fikisha ujumbe, huoni upweke wangu????
Pogba angekuwa na kipaji kama Zidane au Messi sijui ingekuwajePogba na mzee Wa TMT wanatabia za ki Africa sana