Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
Anawasalimia sana yuko salama,Mungu anaendelea kumuimarisha..kwa MUNGU YOTE YANAWEZEKANA![]()
Mwambie namsalimia na sidhani kama keshasahau safari yetu
Anawasalimia sana yuko salama,Mungu anaendelea kumuimarisha..kwa MUNGU YOTE YANAWEZEKANA![]()
Ndio nitumie![]()
BabyNawasalimu wote
Atakuwa yupo bize
Ila usijali siku hazifanani km vipi pifa tu usingizi
......
Muziki: Jumamosi Fleva
Ni jumamosi usiku sasa, lakini kama ilivyokuwa koloni la Malkia Liz, unaweza kuta ni saa sababu mchana sehemu fulani na wote tunaungana hapa KF kuburudika.
Usidanganywe na utando wa juu wa uji ukauparamia, juu umepoa ila ndani ni wa moto pasi mfano. Hii ndo hali ya leo humu KF, asanteni sana kwa mlioamua kupumzika. Mapumziko yenu tunayapenda na kipengele cha muziki kipo kuwaburudisha
Leo ni siku ya miziki ya kisasa zaidi na ni jambo zuri kwamba Makapuku Forum ni sehemu bora kabisa kuwa na hasa kwa kuwa wewe unayesoma segement hii u sehemu yake. Najua unajijua kuwa u mtu maalum kabisa pasi mfano si wale moja haikai mbili haiingii.
Kuna kolabo zinavutia kutazama wakiimba maana wote wanajua na utawafurahia. Sikiza kolabo hii ya komandoo pekee wa Tanzania ambaye huwa hakaribishwi sherehe za muungano kupasua matofari, yeah, Lady JayDee mkali mwenye sauti ya iliyopangika Kisababto na itakuvutia. Hapa anaungana Kidumu, unataka niongee nini kuhusu Kidumu. Tizama
Sawa mdauNinatatizwa na internet wadau, sielewi ni nini maana devices zote nazotumia ziko na shida so nimejiamisha ni net provider.
Kila kitu kiko poa
Asanteee my swiSawa baba watoto karibu sana
Wewe acha hizoKwako labda mwengine namba 1 pombe
Ni baada ya mwili kuwa dhaifuNgada
Mndali unamuhesabia siku?Mi mwenyewe nashangaa
Utakuja tu, labda mpendwa wako asione hii post yakoHata mziki hatupati
Muziki: Jumamosi Fleva
Ni jumamosi usiku sasa, lakini kama ilivyokuwa koloni la Malkia Liz, unaweza kuta ni saa sababu mchana sehemu fulani na wote tunaungana hapa KF kuburudika.
Usidanganywe na utando wa juu wa uji ukauparamia, juu umepoa ila ndani ni wa moto pasi mfano. Hii ndo hali ya leo humu KF, asanteni sana kwa mlioamua kupumzika. Mapumziko yenu tunayapenda na kipengele cha muziki kipo kuwaburudisha
Leo ni siku ya miziki ya kisasa zaidi na ni jambo zuri kwamba Makapuku Forum ni sehemu bora kabisa kuwa na hasa kwa kuwa wewe unayesoma segement hii u sehemu yake. Najua unajijua kuwa u mtu maalum kabisa pasi mfano si wale moja haikai mbili haiingii.
Kuna kolabo zinavutia kutazama wakiimba maana wote wanajua na utawafurahia. Sikiza kolabo hii ya komandoo pekee wa Tanzania ambaye huwa hakaribishwi sherehe za muungano kupasua matofari, yeah, Lady JayDee mkali mwenye sauti ya iliyopangika Kisababto na itakuvutia. Hapa anaungana Kidumu, unataka niongee nini kuhusu Kidumu. Tizama

Kwema kabisa mkuuKwema humu?
Afadhali mdau
Maana kulipoa
Ngoja nipige usingizi
Tukutane kesho
.........

Mimi ndio naingia mkuu..Siyo kwema aisee
Leo kimya sana
....