BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nawe pia mpendwa barikiwa tunakupenda sana usiadimikeJamani natumaini hamjambo
Muwe na siku njema
Nawe pia mpendwa barikiwa tunakupenda sana usiadimikeJamani natumaini hamjambo
Muwe na siku njema
Leo katika Historia
8/7/1984 - Kunafanyika Jaribio la kutaka kumuua Rais wa Iraq, Saddam Hussein lakini jaribio hilo linashindikana.
Tupo poa tuJamani natumaini hamjambo
Muwe na siku njema
Duh acha tuMbaya sana,niliwahi kwenda hospital binafsi niko tight,dawa zipo bima ya afya bei chini,namshukuru Mungu pharmacia ananifahamu akanambia nitop up kiasi pungufu ili nihudumiwe,maana dawa zenyewe ni za kuchoma ,ilibidi nifanye hivyo
Nawe pia mpendwa barikiwa tunakupenda sana usiadimike
nitajitahidi dearI see wanafanana
Hatujambo, nawe pia siku njemaJamani natumaini hamjambo
Muwe na siku njema
AhsanteHatujambo, nawe pia siku njema
UbarikiweNawasalimu wote
Lazima utaegemea upande mmoja tuJaribu mdau Bitoz uone ,ni ngumu sana kugawa moyo![]()
Wanapendezaaa

Nyiee hebu acheni hizooSaaanaa![]()
![]()
r.I.p kanumbaMuziki wa dansi ushaondoka na wenyewe
Ni km Bongo movie na Kanumba
.....
Wamefanana na mjukuu wake tu![]()
Ndiye mwasisi wa NK yaani baba wa Taifa![]()
Ndiye babu wa dogo mapanki
Kim ananyoa panki kumuenzi tu na pia kujifananisha na ushujaa/ukatili wa babu yake
Hivyo ukistaahabu panki la mjukuu utaliona panki la babu
......
Huyu shululu huyu
Duu hiyo ndio tz ya sizonjeMbaya sana,niliwahi kwenda hospital binafsi niko tight,dawa zipo bima ya afya bei chini,namshukuru Mungu pharmacia ananifahamu akanambia nitop up kiasi pungufu ili nihudumiwe,maana dawa zenyewe ni za kuchoma ,ilibidi nifanye hivyo