Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Siamini kama ni utani itakuwa kweliNamtania tu ee
Siamini kama ni utani itakuwa kweliNamtania tu ee
Shida za majiraniBebishaneni tu kW raha zenu
AiseeeAnanyoa panki kumuenzi babu yake pia kujifananisha na ukatili/ubabe/ushujaa wa babu
Ukiwa angalia tu wamefanana
....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] me nafikiri ndo walivyoumbwaNa uzito wote huu,watakua wanaumwa miguu
Amina mama mchuchu napokea baraka zangu[emoji524] KUTOKA 14
13.Musa akawaambia watu ,MSIOGOPE,SIMAMENI TU..mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo;kwa maana hao wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
14.BWANA ATAWAPIGANIA,Nanyi mtanyamaza kimya.
15.BWANA akamwaambia ,Musa mbona unanililia mimi?waambie wana wa Israel waendelee mbele.
[emoji523] Asante Baba kwa neno hili.
Wakati nasoma sura hii na mistari hii niliona kuwa Mungu ananiagiza kitu kwenu MAKAPUKU wapendwa wangu niwaambie kuwa shida,mateso,utasa,kukosa kazi,kukataliwa,kuachwa,kukosa ada,kukosa kodi ,ndoa kusumbua na changamoto zote mnazopitia hamtaziona tena,zitanyamaza kimya...hii ni ahadi ya MUNGU KWETU TUING'ANG'ANIE NA TUJISEMESHE MARA KWA MARA KILA KITU KIBAYA KINYAMAZE KIMYA,NA anatuasa tuendelee mbele,Tunaye Kristo Yesu ndiyo fimbo yetu.
SHALOM...MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
MtumieeUnataka nikutumie maua?😀
Amina mamy[emoji524] KUTOKA 14

Salama hbr ya wkendMmeshindaje wapendwa
Niko Poa kabisaaMmeshindaje wapendwa
Mambo msalmie shunie ukimpigiaAmina mamy
Poa mamyMambo msalmie shunie ukimpigia
Salama za uzimaMmeshindaje wapendwa
[emoji120] [emoji120]Amen, Asante nawe ubarikiwe sana
[emoji120] [emoji120]Amina mama mchuchu napokea baraka zangu
[emoji120] [emoji120]Amina mamy
Anawasalimia sana yuko salama,Mungu anaendelea kumuimarisha..kwa MUNGU YOTE YANAWEZEKANA[emoji123]Mambo msalmie shunie ukimpigia
Me too, nakaribia kufika nyumbaniNmekumic mume wngu jamani
Weekend yangu nzur kabisaaSalama hbr ya wkend
Namshukur Mungu sijamboSalama za uzima
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Poa mamy
Sijaongea nae ila atapata Salam zako