Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Anawasalimia sana yuko salama,Mungu anaendelea kumuimarisha..kwa MUNGU YOTE YANAWEZEKANA[emoji123]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Anawasalimia sana yuko salama,Mungu anaendelea kumuimarisha..kwa MUNGU YOTE YANAWEZEKANA[emoji123]
Sinaa[emoji1]Uongo gupingwa na ukweli
Haya let's ukweli
.....
Sawa baba watoto karibu sanaMe too, nakaribia kufika nyumbani
[emoji106] [emoji106]Weekend yangu nzur kabisaa
Kwako labda mwengine namba 1 pombeHiyo ndio no 1
NgadaKama vile
Si mulikuwa hamupo[emoji1]Mbona umejiquote mwenyewe...kwa raha zako Husna
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sanaaa
Amen[emoji524] KUTOKA 14
13.Musa akawaambia watu ,MSIOGOPE,SIMAMENI TU..mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo;kwa maana hao wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
14.BWANA ATAWAPIGANIA,Nanyi mtanyamaza kimya.
15.BWANA akamwaambia ,Musa mbona unanililia mimi?waambie wana wa Israel waendelee mbele.
[emoji523] Asante Baba kwa neno hili.
Wakati nasoma sura hii na mistari hii niliona kuwa Mungu ananiagiza kitu kwenu MAKAPUKU wapendwa wangu niwaambie kuwa shida,mateso,utasa,kukosa kazi,kukataliwa,kuachwa,kukosa ada,kukosa kodi ,ndoa kusumbua na changamoto zote mnazopitia hamtaziona tena,zitanyamaza kimya...hii ni ahadi ya MUNGU KWETU TUING'ANG'ANIE NA TUJISEMESHE MARA KWA MARA KILA KITU KIBAYA KINYAMAZE KIMYA,NA anatuasa tuendelee mbele,Tunaye Kristo Yesu ndiyo fimbo yetu.
SHALOM...MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Ndio nitumie[emoji1]Unataka nikutumie maua?😀
Ni poa tuMmeshindaje wapendwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwanini isipate?
Vichaa wapo
...
[emoji2]Tafadhali buana
Wee....shiii.....mpendwa asisikieSiamini kama ni utani itakuwa kweli
[emoji4] [emoji4]Shida za majirani
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Mtumiee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kapigwa chenga ya mwili hapaWee....shiii.....mpendwa asisikie
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ohooo....[emoji3] [emoji3] [emoji3] kapigwa chenga ya mwili hapa