Makapuku Forum

Makapuku Forum

Daah!! Nimemiss ishu moja muhimu...vip brefing ya conclusion si unaweza ukanidondoshea?
Ni hivi watu walitaka kuanzisha kama saccos hivi. Ila kama MTU yupo tayari anaweza. Jiunga pia kuna mapendeko kuhusu mambo ya kilimo. Pia hitisho ni kwamba kwenye swala LA hela uaminifu lazima sana. Ila bado watu wanajipanga
 
Back
Top Bottom