lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Bro anaweza kulea mtoto ambaye si wake.Yes babe! Mwambie aniletee na mabungo. Na udongo.

Stress zitamkondesha kwa kweliyoungblood mshika pembe tu hana madhara. Unajua jamaa ana stress sana toka Nahrene asepe
Basi aniletee mkaa.Hata kama baby wangu. Bora vingine ila udongo big NO
Stress mbaya sana kijana endelea kuweweseka tuUkizubaa taa nitazima kama kawaida yangu.
Nahrene ameenda nyumbani kusalimia wazazi.Nahrene hataki asali?
Nimena Si ni Mali ya mkongwe fulanii maarufu
Sister Long tym ...Upo poa?Asijali nitahudumia Sana ila tafadhali mtoto asije fanana na young blood
Mkaa wa kupikia au unataka kula?Basi aniletee mkaa.
Nipo poa my kaka. Wifi hajambo?Sister Long tym ...Upo poa?
Itakuwa yangu.Wifi nasikia mambo tayari
Ndo maana anaweweseka humu kwa wake za watuStress zitamkondesha kwa kweli
Ha haa napata hofu....Sahivi naona anammendea lizzy
Wa kula honey!Mkaa wa kupikia au unataka kula?
Nakutakia asubuhi njema pia shemeji.Goodmorning Guyz ni asubuhi ingine mwanana kabisa huku nilipo toka usiku kunanyesha mpaka mida hii..Hali hii ya hewa inaongeza amasa katika kupiga kazi kwa bidii..Niwatakie Asubuhi njema wote..
Kabisa anapenda Sana kuzima taa
Hiyo lazima.Asijali nitahudumia Sana ila tafadhali mtoto asije fanana na young blood