Makapuku Forum

Makapuku Forum

YOHANA 1

38."Yesu aligeuka ,akawaona wakimfuata akawaambia,mnatafuta nini?wakamwambia Rabi,(yaani mwalimu),unakaa wapi?

39.Akawaambia Njoni,nanyi mtaona,Wakaenda,wakaona akaapo,wakakaa kwake siku ile,Nayo ilikua yapata saa kumi.

Asante Mungu kwa neno lako.

Yamkini mimi na wewe tungemuona YESU macho kwa macho tungetamanu kumfuata na kujua anapokaa,na hata yawezekana tungehamishia makao yetu kwake

Sisi hatuna haja tena ya kumfuata YESU mpaka anapokaa,Neno linasema YESU anakaa ndani yetu na sisi ndani yake,swali ni hili kwetu sote Asubuhi tulivu ya leo,Je?unamtafuta YESU unataka nini kwake?

Mpendwa wangu YESU yu ndani yako,mwambie kile unachotaka asubuhi ya leo hakika utapokea.

Kama aliwapeleka wale waliomfuata anapokaa ,nawe atakutendea.
SHALOM SHALOM
 
Na mpaka hapo basi sina la ziada kutoka kwnye Historia. Jina langu ni Jimena Jimenes. ... Kumbuka tu nilikuwa hapa kwa hisani ya sikukuu ya wakulima ya 7 7
Muwe na week njema na mapumziko mema. Ciao
 
YOHANA 1

38."Yesu aligeuka ,akawaona wakimfuata akawaambia,mnatafuta nini?wakamwambia Rabi,(yaani mwalimu),unakaa wapi?

39.Akawaambia Njoni,nanyi mtaona,Wakaenda,wakaona akaapo,wakakaa kwake siku ile,Nayo ilikua yapata saa kumi.

Asante Mungu kwa neno lako.

Yamkini mimi na wewe tungemuona YESU macho kwa macho tungetamanu kumfuata na kujua anapokaa,na hata yawezekana tungehamishia makao yetu kwake

Sisi hatuna haja tena ya kumfuata YESU mpaka anapokaa,Neno linasema YESU anakaa ndani yetu na sisi ndani yake,swali ni hili kwetu sote Asubuhi tulivu ya leo,Je?unamtafuta YESU unataka nini kwake?

Mpendwa wangu YESU yu ndani yako,mwambie kile unachotaka asubuhi ya leo hakika utapokea.

Kama aliwapeleka wale waliomfuata anapokaa ,nawe atakutendea.
SHALOM SHALOM
Shalom
 
Leo katika Historia

8/7/1948 - Jeshi la Anga la Marekani laanza kuajiri askari wa kike katika jeshi .
68fc8e1bd6c5ec5dc71ced8d84274fbb.jpg
e7464af346ec08d00168e486946067f1.jpg
aae460002ff7015eae41ef0fedec8959.jpg

Na wa kwanza kuajiriwa ni Esther McGowin Blake
.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom