Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji2] [emoji2] [emoji2] itakuwa ilikuwa pirton hiyooNi kweli ishii siyo kushusha bei
Juzi nimrrnda zahanati ya kata nikaandikiwa dawa nikaambiwa moja hapo nikaenda duka la dawa nikashangaa kadawa kunyewe kanauzwa 500/= ila zahanati hakuna
Lina tatizo la upungufu mkubwa wa dawa
......