Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Well saidUNAIJUA TABIA YA MAUMIVU YA NDANI AU UCHUNGU??
Maumivu au uchungu unatabia zifuatazo;
1. Uchungu unambadilisha mtu tabia.
2. Uchungu humfanya mtu kupunguza imani (trust) au kutomwamini mwingine kabisa. Uchungu na maumivu ya moyo humfanya mtu kufikiria kuliko uwezo wake wa kawaida.
3. Uchungu pia humfanya mtu kujifungia ndani yake mwenyewe kihisia (emotional neglect), hawezi kufunguka, hazungumzi kawaida, haelezei hisia zake, ukimya na kununa kusiko kwa kawaida. Uchungu ni mbaya sana. Nadhani kati ya vitu muhimu vyakuvihakikisha kwa mpenzi wako ni kuhakikisha unapunguza mazingira ya kumsababishia machungu
Morning mdau Bitoz asante ubarikiweMorning washikaji
Nafikiri mpo poa
Leo wengi wa ofisini wapo kitaa kwaajili ya 77
Muwe na Siku njema
.......
Mbona anachekaUKIKUTANA NA SIMBA GHAFLA, FANYA HAYA..
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI au KIFUDIFUDI!
Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!
Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!
Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
I seeHuwa wanasababu za kufanya hivyo, kulingana na mazingira yetu wanawake wengi sana wanatoa mimba, mwingine mpaka kizazi kinaharibika anakuwa hana uwezo tena wa kutunga mimba
Sasa akipata rafiki atamsimulia na atakuwa na uchungu sana kwa nini alitoa mimba, muda huo anahitaji kuitwa mama lakini haiwezekani tena
Sasa rafiki yake akipata mimba tu ni lazima amlingishie kuwa yeye soon anaitwa mama
Hilo ndio tatizo kubwa sana la watu kupenda kuonesha mimba zao
Shemeji kesho natoa msimamo wangu juu ya kupotea kwa afande
Makapuku wenzangu wazima..?poleni na msiba wa mwenzetu Ibra87,r.I.p
Cc Obe na HusnaWakuu kumekucha salama Jana nimeahidi kutoa msimamo wangu juu ya kuto kumwona afande shedede
Sasa nimeamua kuto kuingia jukwaani hapa kwa siku tatu
Kuonyesha kuwa alicho kufanya husna kumtelekeza afande wakati aliacha kazi kwaajili yake ili awe karibu nae sasa katelekezwa
Na mzee wa saa mpya umejichukulia shemeji yako bila hata kumhurumia afande na maumivu yake
Leo nasema kuwa tu kila jambo na wakati wake Fanya kila kitu kwa manufaa ya Leo na kesho
Nawaacha na utafiti hewa : uvivu wako ndo chanzo cha umaskini wa familia yako
Morning za uzimaMofning...
Amen mummy ubarikiwe
Kulikoni shunieMorning wapenzi hope mmeamshwa salama nawamiss sana jamaan
Natoka kidogo jf tutaonaona nikirudi kama baada ya week au viweek kadhaa nitazidi kuwamiss
Mungu azidi kuwaweka tupo pamoja
Mama mchuchu nilimpa sakayo ujumbe asubuhi naomba umtumie no yako mama nakupenda sana
Mungu awabariki sana sana
Kapuku kwangu ni zaidi ya familia
Hii kitu ni real yaaani...Unbelievable facts. ..