BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
[emoji524] MATHAYO 5
3.Heri walio masikini wa roho,maana ufalme wa mbinguni ni wao.
4.Heri wenye huzuni Maana hao watafarijika.
[emoji523] Mpendwa usiku wa leo naomba nikwambie,hata kama unapitia mateso gani kama hujamuacha MUNGU Ufalme wa Mungu ni wako na utafarijika..usimwche MUNGU kwa ajili ya shida yoyote..ng'ang'ania kwake
USIKU MWEMA DAMU YA YESU ITUFUNIKE[emoji7] [emoji7]