Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Njema mzee wa peremendeKwemaaa mkuu
Njema mzee wa peremendeKwemaaa mkuu
UNAOTAAA?Makapuku naona kama utawala wenu unaelekea kuangushwa na wazee wa kupeana likes
WasalimieMakapuku naona kama utawala wenu unaelekea kuangushwa na wazee wa kupeana likes
Umeangalia speed yao lakini ?... Ngoja nikachukue likes kwanzaUNAOTAAA?
Kwani kuna mashindano?Makapuku naona kama utawala wenu unaelekea kuangushwa na wazee wa kupeana likes
Kwani kuna mashindano?
Kila mtu afanye anavyojisikia
Kwani JF uzi ukiwa na post/wachangiaji wengi kuna malipo au mtu akiwa na like nyingi analipwa?
Sisi tuna maisha yetu na hatuwezi kushindana kupost JF na hata uzi kwa siku uwe na post 7 hakuna hasara yoyote ilimradi mawe yanaingia mfukoni mwetu
Ingependeza zaidi post yako Hii ungepost huko maana ungeongeza like na wingi wa post
![]()
![]()
![]()
........

Hamna mashindano mkuu..Kwani kuna mashindano?
Kila mtu afanye anavyojisikia
Kwani JF uzi ukiwa na post/wachangiaji wengi kuna malipo au mtu akiwa na like nyingi analipwa?
Sisi tuna maisha yetu na hatuwezi kushindana kupost JF na hata uzi kwa siku uwe na post 7 hakuna hasara yoyote ilimradi mawe yanaingia mfukoni mwetu
Ingependeza zaidi post yako Hii ungepost huko maana ungeongeza like na wingi wa post
![]()
![]()
![]()
........
Basi waache wafanye yaoHamna mashindano mkuu..
poa poa mkuu.. Ngoja nikachukue likes kwanzaBasi waache wafanye yao
Sisi tilikiwepp tupo na tutaendelea kuwepo
.........
GoodBasi waache wafanye yao
Sisi tilikiwepp tupo na tutaendelea kuwepo
.........
Nimejikuta nacheka tuuKwani kuna mashindano?
Kila mtu afanye anavyojisikia
Kwani JF uzi ukiwa na post/wachangiaji wengi kuna malipo au mtu akiwa na like nyingi analipwa?
Sisi tuna maisha yetu na hatuwezi kushindana kupost JF na hata uzi kwa siku uwe na post 7 hakuna hasara yoyote ilimradi mawe yanaingia mfukoni mwetu
Ingependeza zaidi post yako Hii ungepost huko maana ungeongeza like na wingi wa post
![]()
![]()
![]()
........
Chukua like hapa ukaongeze na za huko. Kapukus are here to stay!Hamna mashindano mkuu..
MamboWasalimie
Obe HabariNjoo tupeane mwajala, kumbe kigoma one eehe?
Hujambo wangu?
Kwani kazi ya hizo like ni nini hasaUmeangalia speed yao lakini ?... Ngoja nikachukue likes kwanza
Ujumbe kaupata huyu harudi tena na ujinga wake hapaKwani kuna mashindano?
Kila mtu afanye anavyojisikia
Kwani JF uzi ukiwa na post/wachangiaji wengi kuna malipo au mtu akiwa na like nyingi analipwa?
Sisi tuna maisha yetu na hatuwezi kushindana kupost JF na hata uzi kwa siku uwe na post 7 hakuna hasara yoyote ilimradi mawe yanaingia mfukoni mwetu
Ingependeza zaidi post yako Hii ungepost huko maana ungeongeza like na wingi wa post
![]()
![]()
![]()
........
Amen mdau...ubarikiweKila mtu anajifunza kwa post za mwenzake
Hata mimi kuna vitu najifunza kutoka kwako
Pamoja sana mdau
.......
Sasa kama hamna mbona unalialia kuwa akina Fulani wanawazidi akina FulaniHamna mashindano mkuu..
Usichokijua ni kwamba JF ni sehemu nzuri kwa wenye akili kubwa.....wanatumia fursapoa poa mkuu.. Ngoja nikachukue likes kwanza