BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Asante nafurahi kukuona..karibuSafi sana.....Amen.....nakutakia siku njema yenye Baraka tele
![]()
![]()

Asante nafurahi kukuona..karibuSafi sana.....Amen.....nakutakia siku njema yenye Baraka tele
![]()
![]()

Asante sana dear Ubarikiwe
Asante kwa historia ubarikiweKutoka kwenye meza ya Historia sina la ziada. Jina langu naitwa Jimena Jimenes.... Nawatakia maandalizi mema ya sikukuu ya 7 7
Kumbuka tu leo katika Historia ililetwa kwenu kwa udhamini wa vichwa vya treni huko bandarini vilivyoshuka kutoka juu mbinguni.
Ciao![]()
Happy Birthday Nancy Reagan na Ronald ReaganLeo katika Historia:
6/7/1921 - Nancy Reegan mke wa Rais wa zamani wa Marekani Ronald Reegan anazaliwa.
Happy Birthday George BushLeo katika Historia
6/7/1946 - George Bush, Rais wa zamani wa Marekani anazaliwa.
Amina mamyAsante sana dear Ubarikiwe
Happy Birthday Sylivestr Stalone RamboLeo katika Historia
6/7/1946 - Sylvester Stallone " Rambo " anazaliwa.
Heri ya uhuru Malawi mbarikiweLeo katika Historia
6/7/1964 - Siku ya Uhuru wa Malawi
232kUFUNUO 3
8.Nayajua matendo yako,Tazama nimekupa mlango uliofunguliwa mbele yako,ambao hapana awezaye kuufunga,kwakuwa unazonguvu kidogo,nawe umelitunza neno langu,wala hukulikana jina langu
Mwana wa Mungu ,Baba anasema nawe anayajua matendo yako na amekuachia nafasi ya kuamua kuingia katika mlango alioacha wazi ili uweze kuwa na furaha na amani,MUNGU anatufahamu vizuri sana na anajua tunazo nguvu kidogo za kuishi maisha matakatifu na kuacha dhambi ili siku ya mwisho tukamwone na Kuishi naye milele,shida,changamoto ,magonjwa,dhiki,kukosa ada,kukosa chakula,kukosa kodi ya nyumba,kukosa kazi,kukosa mume,kukosa mke ,kukosa amani na tabu ni hila za shetani kutukwamisha kuingia mlango wa neema ambao ameufungua uko wazi...tunapaswa kuomba sana,kusoma neno la Mungu ili tuweze kumshinda shetani maana MUNGU ametupa nguvu hizo.Mchana huu wa leo nakualika ukaze mwendo,nguvu kidogo ulizonazo si haba ,zitakufikisha kwenye ufalme wa Mbinguni...Fanya bidii ya kushiriki yale yanayompendeza Mungu ili uingie kwenye mlango huu umshinde shetani...maana HAKUNA AWEZAYE KUUFUNGA...SHALOM..MCHANA MWEMA
![]()
![]()
![]()
Heri ya uhuru ComoroLeo katika Historia
6/7/1975 - Siku ya Uhuru wa Comoro. Walipata Uhuru wao toka kwa Ufaransa.
Hongera waliotengeneza AK47 URUSILeo katika Historia
6/7/1947 - Bunduki ya AK 47 yatengenezwa rasmi huko Urusi.
Mbaya sanaLeo katika Historia
6/7/1967 - Nigeria yaivamia Biafra na kusababisha kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Karibu mwanangu nimekumissSi njema sana katibu
Ila kiafya niko salama kabisa
AsanteLeo katika Historia itawajia hivi punde tu..... Kwa hisani ya vichwa vya train vilivyoshuka kutoka juu mbinguni
Italetwa nami Jimena Jimenes a k a JJ
Karibuni sana
T wa Sakayo BarikiwaKaribu tena mdogo wangu..
Na pole kwa safari
BabeAmina mamy
Ni nomaNi kweli yankulazimishana ni mbaya sana
Karibu mdaunew kapuku in da hausii
Allah AkbarNawasalimu nyoteeeee katika jina la Allah