Makapuku Forum

Makapuku Forum

TETESI ZA USAJILI LEO....

Manchester United wamekubaliana ada ya uhamisho ya takriban pauni milioni 75 na Everton ya kumsajili mshambuliaji Romelu Lukaku, 24.
Taarifa zinasema United sasa hawatoendelea kumfuatilia Alvaro Morata wa Real Madrid.
Hatua hii pia haihusiani na mazungumzo ya Wayne Rooney kuhamia Everton.
 
Manchester United wametoa dau la pauni milioni 66 kutaka kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Alvaro Morata, 24, na huenda makubaliano kati ya timu hizo mbili yakafikiwa katika saa chache zijazo (Marca).

Bahati mbaya Madrid wakaweka ngumu kwa kutangaza dau....

22c990f56ef31f41444bf7a7e007cd63.jpg
 
Atletico Madrid wanajiandaa kutoa dau rasmi la pauni milioni 22 kutaka kumsajili Diego Costa, 28, kutoka Chelsea limeandika (Guardian).

Ila mirror limeripoti kuwa

Hatua ya Atletico Madrid kutaka kumsajili tena Diego Costa itategemea kama wataruhusiwa kumpeleka China kwa mkopo hadi adhabu yao ya usajili itakapomalizika mwezi Januari (Mirror).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom