Be blessed
Asante usingizi wa kaka QKutoka kwenye meza ya Historia sina la ziada. Jina langu naitwa Jimena Jimenes.... Nawatakia maandalizi mema ya sikukuu ya 7 7
Kumbuka tu leo katika Historia ililetwa kwenu kwa udhamini wa vichwa vya treni huko bandarini vilivyoshuka kutoka juu mbinguni.
Ciao![]()
Same to you mzeewakungoa...Be blessed
Nice quote
Yo WelcomeNice quote
Thank youYo Welcome
Hebu naomba kumtambua huyo kaka Q pleaseAsante usingizi wa kaka Q

Karibu. Sasa 7 7 hatutoki ?? Mtu na ankali ake??Shukrani aunt
HahahahahahaHappy birthday mr Rocky ....umenikumbusha enzi za lufufu
Thank you dia
Nimewahi kumuelezea hapa kwenye kumi kubwa ya waliopotea
You are welcomeThank you dia
Ulemavu mbaya ni wa akili (ukichaa)
QUIGLEYHebu naomba kumtambua huyo kaka Q please
Maana nimeshtuka![]()
![]()
![]()
Leo katika Historia
6/7/1975 - Siku ya Uhuru wa Comoro. Walipata Uhuru wao toka kwa Ufaransa.
Heri kwaoLeo katika Historia
6/7/1964 - Siku ya Uhuru wa Malawi
Leo katika Historia
6/7/1946 - Sylvester Stallone " Rambo " anazaliwa.
Leo katika Historia
6/7/1946 - George Bush, Rais wa zamani wa Marekani anazaliwa.
Heri ya kuzaliwa kwaoLeo katika Historia:
6/7/1921 - Nancy Reegan mke wa Rais wa zamani wa Marekani Ronald Reegan anazaliwa.