Duh, man watamsajili kweliManchester United wametoa dau la pauni milioni 66 kutaka kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Alvaro Morata, 24, na huenda makubaliano kati ya timu hizo mbili yakafikiwa katika saa chache zijazo (Marca).
Bahati mbaya Madrid wakaweka ngumu kwa kutangaza dau....
![]()
Hawezi kupewa hiyo pesaMshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez, 28, anataka mshahara wa pauni 400,000 kwa wiki, ambao ni ongezeko la pauni 125,000 kwa wiki katika mshahara wake wa sasa (Daily Mirror).
Mamy kwema nmekuachia ujumbeMarahaba my dear za uzima barikiwa![]()
Love you mummy
Huyu hamjui babu ndo kutukomoa amaHawezi kupewa hiyo pesa
TRL![]()
![]()
Simuoni mwenye vichwa vya treni
Hongera kwa 232 K mama mchungajiUFUNUO 3
8.Nayajua matendo yako,Tazama nimekupa mlango uliofunguliwa mbele yako,ambao hapana awezaye kuufunga,kwakuwa unazonguvu kidogo,nawe umelitunza neno langu,wala hukulikana jina langu
Mwana wa Mungu ,Baba anasema nawe anayajua matendo yako na amekuachia nafasi ya kuamua kuingia katika mlango alioacha wazi ili uweze kuwa na furaha na amani,MUNGU anatufahamu vizuri sana na anajua tunazo nguvu kidogo za kuishi maisha matakatifu na kuacha dhambi ili siku ya mwisho tukamwone na Kuishi naye milele,shida,changamoto ,magonjwa,dhiki,kukosa ada,kukosa chakula,kukosa kodi ya nyumba,kukosa kazi,kukosa mume,kukosa mke ,kukosa amani na tabu ni hila za shetani kutukwamisha kuingia mlango wa neema ambao ameufungua uko wazi...tunapaswa kuomba sana,kusoma neno la Mungu ili tuweze kumshinda shetani maana MUNGU ametupa nguvu hizo.Mchana huu wa leo nakualika ukaze mwendo,nguvu kidogo ulizonazo si haba ,zitakufikisha kwenye ufalme wa Mbinguni...Fanya bidii ya kushiriki yale yanayompendeza Mungu ili uingie kwenye mlango huu umshinde shetani...maana HAKUNA AWEZAYE KUUFUNGA...SHALOM..MCHANA MWEMA
![]()
![]()
![]()
Washaachana naeeDuh, man watamsajili kweli
Ndo anawatoka hivoHawezi kupewa hiyo pesa
Point kwelii ....ila Lukaku 75m naona taa inawawakiaNaona Madrid wanaikomoa Utd sababu walinyimwa De Gea
....
Mkimchukua morata mtakuwa vizuri sanaNaona Madrid wanaikomoa Utd sababu walinyimwa De Gea
....
Thanks bitozEnd![]()
.......
Atauzwa M,cityNdo anawatoka hivo
Hata wamnunue kwa Pauni 100 milion ni hela ya klabuPoint kwelii ....ila Lukaku 75m naona taa inawawakia
Halafu week hii mambo yanabana kwangu na kwa wengineThanks bitoz
Ni kwelii hawa jamaaa hawana copulation kama viumbe wengine ......reproduction mode yao ni amaizing kiukwelii make lijamaa halina time ya kukimbizana na jike ni mwendo wa kunyapiana tuu tena kwa ustaarabu wa hali ya juu...
Asante mdauEnd![]()
.......
Shangilia mdau ....ila kumbuka mbuzi wako mjiniHata wamnunue kwa Pauni 100 milion ni hela ya klabu
Kazi yangu kushangilia timu tu
....
Sema mbaya zaidi negative impact anakuwa domant ...hawezi kutema cheche zake kama mwanzoniiiii...no sumu tena