Makapuku Forum

Makapuku Forum

Upo mpendwa mpenzi wangu mwenyewe.
Yaani wewe ukiomba wimbo nakuletea album nzima na ukiomba album nakuletea band na ukitaka band nakuletea studio nzima. Sema unataka nini mpendwa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] mpendwa mwayaa basi nimesahau cjui nilikuwa nataka vileee

[emoji134] [emoji134]
 
Ahahhah me sasa kwakweli sikukumbuki hata kama kuna mengi mazuri tumewahi fanya kama tumeamua kuachana tuachane tu kwa Amani itokee tu tukutane kwa bahati mbaya tusalimiane lakini sio nianze nikutafute nimekumiss sijui nini hakunaga hiyo
Tuseme tuu ukweli... Huwa kuna la kukumbuka kiukweli... Liwe zuri au baya.. Huja tuu automatically kwa kweeli
 
Back
Top Bottom